Wanafunzi wenye UKIMWI Kibaha wawekewa Label!

My 125

Member
Nov 7, 2011
30
7
Tanzania anger over red ribbon labels for HIV pupils

_59088346_dscn3287.jpg

Pupils wearing ribbons are excused from chores like fetching water.

Campaigners in Tanzania have criticised some schools for making HIV-positive pupils wear a red ribbon on their uniforms.

The headmaster of one school told the BBC it was done at the parents' request to ensure that all sickly pupils do not do tasks that may affect their health.

But such stigmatisation was against the law, punishable by up to three years in jail, a campaign group warned.
The health minister has said he cannot comment until it is investigated.

According to UNAids, about 5% of the population - 1.4m people - in the East African nation are living with HIV.

'Confidential'

The BBC's Aboubakar Famau in the main city of Dar es Salaam says activists have reacted with horror to the labelling of pupils in the Kibaha district.

They believe at least seven schools in the area, about 40km (25 miles) north-west of Dar es Salaam, are using the ribbon system.

"They are only doing that because they want to identify those who are HIV-positive," said Jane Tibihita, a co-ordinator of Upendo Partnership, a local campaign group.

Rebecca Mshumbusi, chairperson of the Kibaha Association of People Living with HIV/Aids, said it was unethical to reveal a person's health status in public.

"The information of one's sickness is confidential unless if one decides to share it with others. There are laws that can punish those revealing other's health status," she told the BBC.

But Mohammed Lukema, the headmaster of Kibaha Primary School, said he is only carrying out parents' wishes and pupils wearing a red ribbon were excused from any rigorous school duties, such as sweeping the compound and fetching water.

"Our school has pupils who are suffering from various diseases. The school and the society at large have decided to label pupils' uniforms," he said.

"In our school we put a red label on the pupils' collars to identify them."

The root of the problem is that there have been few initiatives to educate people about stigmatising those with HIV, Ms Tibihita said.

"They are only dealing with infection and prevention of the disease," she said.

"Now, the HIV and Aids Prevention and Control Act allows one with concrete evidence to be taken to court on the grounds of stigmatization and one can be sentenced for up to three years."

BBC News - Tanzania anger over red ribbon labels for HIV pupils
 
Kuna habari zinarindima dunia nzima kuwa kuna shule huko Kibaha imewaweka label wanafunzi wenye Ukimwi kwa dhumuni la kuwatambua.

Habari hizi nimezisikia BBC na Citizen TV ya Kenya. Mambo haya yanashangaza na kusikitisha. Pamoja na kampeni zote hizi bado unyanyapaa unaendelea tena kwa watu walioenda shule kama waalimu. Mtangazaji mmoja wa Citizen alihoji kama ni hivyo mbona kila mtu atakuwa na lebel, leo itakuwa lebel ni kwa wenye Ukimwi, kesho wenye TB kesho kutwa wenye Malaria hadi kila mtu atakuwa na label.

LHRC imekaaje hiyo?
 
Hii itasaidia kupunguza maambukizo zaidi manake ni ngumu sana ukamvae mtu mwenye label
 
Hivi katika shule moja kuna wanafunzi wangapi wenye HIV kiasi waalimu wanashindwa kuwatambua bila ya kuwawekea label?

Habari kamili hii hapa

Tanzania anger over red ribbon labels for HIV pupils

_59088346_dscn3287.jpg
Pupils wearing ribbons are excused from chores like fetching water

Campaigners in Tanzania have criticised some schools for making HIV-positive pupils wear a red ribbon on their uniforms.
The headmaster of one school told the BBC it was done at the parents' request to ensure that all sickly pupils do not do tasks that may affect their health.
But such stigmatisation was against the law, punishable by up to three years in jail, a campaign group warned.
The health minister has said he cannot comment until it is investigated.
According to UNAids, about 5% of the population - 1.4m people - in the East African nation are living with HIV.

'Confidential'
The BBC's Aboubakar Famau in the main city of Dar es Salaam says activists have reacted with horror to the labelling of pupils in the Kibaha district.
They believe at least seven schools in the area, about 40km (25 miles) north-west of Dar es Salaam, are using the ribbon system.
"They are only doing that because they want to identify those who are HIV-positive," said Jane Tibihita, a co-ordinator of Upendo Partnership, a local campaign group.

In our school we put a red label on the pupils' collars to identify them" Mohammed LukemaHead of Kibaha Primary School​

Rebecca Mshumbusi, chairperson of the Kibaha Association of People Living with HIV/Aids, said it was unethical to reveal a person's health status in public.

"The information of one's sickness is confidential unless if one decides to share it with others. There are laws that can punish those revealing other's health status," she told the BBC.
But Mohammed Lukema, the headmaster of Kibaha Primary School, said he is only carrying out parents' wishes and pupils wearing a red ribbon were excused from any rigorous school duties, such as sweeping the compound and fetching water.
"Our school has pupils who are suffering from various diseases. The school and the society at large have decided to label pupils' uniforms," he said.
"In our school we put a red label on the pupils' collars to identify them."
The root of the problem is that there have been few initiatives to educate people about stigmatising those with HIV, Ms Tibihita said.
"They are only dealing with infection and prevention of the disease," she said.
"Now, the HIV and Aids Prevention and Control Act allows one with concrete evidence to be taken to court on the grounds of stigmatization and one can be sentenced for up to three years."

Source: BBC

hii ishu sio kweli bali wale wanafunzi wanavalishwa ribbon na wazazi wao ili waweze kutambulika kirahisi na walimu pamoja na wanafuenzi wenzake ili zinapotolewa kazi za nje au adhabu yeye apewe adhabu kulingana na afya yake mathalani kuna mwanafunzi mmoja amekewa ribbon na mzazi wake ana matatizo ya kupumuwa .ni utaratibu tu waliojiwekewa wazazi wenyewe
 
Kwa maana hiyo riboni anawekewa mwanafunzi mwenye ugonjwa wowote na sio ukimwi. Isije kuwa ni kuwanyanyapa badala ya kuwasaidia
 
ktk article wanasema wazazi wamependekeza hivyo ili watoto wao wasifanye kazi flani!na wapo wanafunzi 7!nakumbuka sekandari bweni watu walisingizia magonjwa ya ajabu wapate menu ya wagonjwa daily!sina hakika kama hii ni highest level ya kusingizia
 
Hii post siyo ya hapa. Mods peleka hii kwenye mseto

Mungi & MODs ningeomba hii post ibakie hapa ili ijadiliwe na wengi. Ni muhimu sana kwa watu wengi kuona huu unyama unaofanywa huko Kibaha.

Hii ni aibu kwa Taifa zima, na ni kinyume kabisa na haki za binadamu. Lakini linalonisikitisha zaidi ni majibu aliyotoa waziri wa afya kwamba hawezi kusemam chochote mpaka uchunguzi ufanyike! Hivi waziri hajui kwamba hili ni kosa? Na inakuje BBC wawe wa kwanza kujua hii habari ni sio vyombo vyetu vya habari hapa Tanzania?
 
Back
Top Bottom