Wanafunzi wa kitanzania malaysia wanafanya kazi ya umalaya


21.jpg


Pichani ni Baadhi ya wanafunzi wa kike wakiwa nje ya club kusubiri wateja, Huko Jalan P-Ramlee jijini Kuala Lumpur Malaysia.


Imeripotiwa kuwa baadhi ya wasichana wa kiafrika wengi wao wanaokwenda nchini Malaysia kwa njia ya masomo ya juu wamejiingiza kwenye biashara ya ukahaba.

Kwa mujibu wa gazeti kubwa la nchini Malaysia The Star, wanafunzi hao wamekuwa wakionekana hadharani nje ya kumbi za starehe/burudani hasa nyakati za usiku huku wakionekana wakizungumza na wateja wao kwa kupatana bei.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo,wakinadada hao ambao wanachaji kiasi cha RM 200 kwa show time (chap chap) sawa na Tsh 80,000/- na RM 600 ambayo ni sawa na laki tatu kasoro ushee kwa kulala hadi asubuhi.

Nchi ya Malaysia imekuwa kimbilio kwa wanawake wengi wanaojiuza toka nchi nyingi hasa za jirani na Malaysia kwa vile jiji la Kuala Lumpur limekuwa likipokea watalii wengi hasa wanaokimbia majira ya baridi huko nchi za Ulaya.

Kwa miaka ya karibuni kumekuwa na wanafunzi wengi sana toka nchi za Afrika wakienda kusoma nchini Malaysia kutokana na elimu yao kuwa ya kiwango cha juu.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo wanafunzi hao ambao wana umri kati ya miaka 20 hadi 30 inasemekana wanatoka nchi za Ghana, Tanzania, Togo, Cameroon, Botswana na Nigeria.

Kwa mujibu wa ripoti za kichunguzi toka jarida la Star Metro linasema wana dadapoa hao wana uwezo mkubwa wa kumkamata mteja kutokana na vigezo wanavyovitumia ambavyo vina mshawishi mteja kwa haraka.

Wanafunzi hawa wote huwa wanakuwa na copy za Passport zao pamoja na barua zinazoawatambulisha kuwa ni wanafunzi toka vyuoni mwao.

"Niko hapa kwa miezi miwili tu na utafurahia huduma yangu" alisema mmoja wa mabinti hao mwenye umri wa miaka 22 ambaye alijitambulisha kuwa yeye ni Binti wa Kitanzania.

Kumekuwa na wimbi kubwa la wanafunzi wa Kiafrika kwenda kusoma Malaysia, na kiukweli kuna tatizo kubwa sana ambalo wanakutana nalo wanafunzi hao wakiwa huko Malaysia,kwani hairuhusu kwa wanafunzi yeyote wa kigeni kufanya kazi na hata ukipata kazi ya kufanya huwa hazilipi kama ilivyo kwa nchi zingine.

Maisha nchini Malaysia ni magumu hasa kama huna kipato na unategemea kupata pesa toka kwa wazazi kwani ukikosea hesabu inabidi ukae mpaka pesa zitumwe tena toka nyumbani,hali ambayo inawapelekea wanafunzi wengine kuingia katika biashara hiyo.

Jijini Kuala Lumpur maisha yako juu kulinganisha na miji mingine nje ya jiji hilo, wengi wa wanafunzi ni kweli wamekuwa wakifanya biashara hizi na wengine wamejiingiza kwenye biashara hatari ya madawa ya kulevya ambayo haina adhabu mbadala nchini Malaysia/ Singapore zaidi ya kunyongwa ndani ya masaa 24.

Tunawaasa wazazi wa watoto hao wawe karibu na watoto wao na wajue gharama halisi za kusomesha watoto nchini humo ambazo ma agent wengi wa shule hawawaambii ukweli wazazi kuhusu gharama hizi, matokeo yake wakifika kule ndio wanatumbukia humo.

GAZETI LENYEWE HILI HAPA <<BOFYA HAPA>>

 
By ELAN PERUMAL and STUART MICHAEL
metro@thestar.com.my



It Is an open secret that certain nightspots in Kuala Lumpur where foreigners gather are known to be pick-up joints for women of certain nationalities.

But there are now complains that there seem to be a surge in African women soliciting for sex openly.

Dressed sexily and scantily, these African women, most of whom claiming to be students studying at international colleges here, are openly approaching customers at these watering holes.

However, their preference is Caucasians with locals being last on their list.

They charge anything between RM200 for a single session and RM600 for an all night session at any hotel.

These women carry glamour names like Glory, Sophea, Steffie, Joey, Sarfee, Prescia, Noami or Jim,

They are aged between 20 and 30 and claim to be from Ghana, Tanzania, Togo, Cameroon, Botswana and Nigeria.

A check by StarMetro found that they were bold in approaching customers.

Once both parties agree on the rate they would get into one of many waiting taxis outside the entertainment outlet to get to a hotel.

Almost every single one of these women have a photocopy of their passports as well as letters purportedly issued from the international colleges where they are studying.

Nigerian student Linda, 20, (not her real name) said she had no choice but to ply the flesh trade to pay her fees of about RM6,000 a year.

"My family suddenly told me they are having financial problems back home and cannot afford to support me.

"I cannot work in any sector here as I have yet to complete my studies and I need the money for house rental and fees," she said.

Linda, said she came to Malaysia together with several friends who had to sell their bodies to pay for their three-year course.

They plied their trade at a popular entertainment outlet in Jalan P. Ramlee.

Some of them are said to make RM800 to RM1,000 a night.

"It is not that we want to get involved in such a trade but we have no choice.

"Anyway I don't do it every day or hang out at these entertainment outlets daily.

"I have to study, too, otherwise I will have to go home empty-handed and without a diploma," added Linda,

A 23-year-old private college student, who wanted to be known only as Sandra, said she was forced into the sex trade because she did not want to burden her family back home in Ghana.

Sandra, who came here about six months ago to pursue a degree in engineering, added that a few African girls introduced her to the trade as a way to earn money to pay her college fees.

"It's the easiest and least time-consuming job. I have enough time to go home and study after I'm done," she said.

A StarMetro team found out for themselves how these African women ply their trade at Jalan P.Ramlee.

They were approached by two African woman who were "dressed to kill".

The women daringly cuddled up to them and started chatting.

The two women told the reporters they could make them "happy and experience something out of this world".

They said it would cost the reporters between RM200 and RM400 for an "out of this world" experience.

These women know most of the budget hotel in the area as well as the rates charged per hour.

They will even offer massage services as an added service.

Our reporters decided to find out more about their activities and offered to buy them drinks at a well-known outlet.

Upon entering the premises, these women would start looking for potential customers.

They moved around by dancing sexily and gyrating in front of their targeted man before hooking up a conversation.

When there were no response they went back to the reporters and repeated their offer.

The girls spoke fluent English and seemed comfortable with everyone present.

They would be willing to negotiate.

"You tell me how much you are willing to pay and I can guarantee you that my service will be good,'' said a Ghanaian who claimed to be a college student doing a business programme.

Another girl from Cameroon even invited one of the reporters to her residence in Selayang and offered massage services along with sex.

She promised "a lot of fun and satisfactory service" for the money offered.

"I have been here only for two months and you would enjoy my company,'' she said.

A 22-year-old girl, claiming to be from Tanzania, said she was studying English in a college in the city and was not a regular patron at the club.

"I do not come here every day but only when I needed some extra money and company,'' she added.

Source: Students involved in vice at city nightclubs a worrying trend

(Ni juu yako kupima credibility ya hiyo Source ya information)
 
Inasikitisha kwa kweli, lakini sio huko tu hata wanafunzi wanaosoma katika vyuo vya hapa nchini wanafanya hivyohivyo!
 
Bora kufanya kazi ya umalaya ULAya kuliko kufanya kazi ya kuuza madawa ulaya
 
Mimi nadhani sio tu wanajiuza wakiwa huko Malasia. Kuna wengine wanasoma hapa hapa Tz na bado wanajiuza.
Nadhani kuna sababu zinawafanya kufanya hivyo
1. Kukidhi mahitaji yao ya kiuchumi.
Lakini kubwa linalosababisha yote hayo ni tatizo la kutojitambua.[/Na kwa nini tusifikirie kwamba wengi wa wao wadada wa aina hii huwa wanapendelea lifestyle hii? Unaweza kuamini hata hapa Dar wapo wadada sampuli hii ambao wanakazi maofisini lkn still wanakwenda viwanja? Hapo tusemaje, ni kwa ajili ya kipato au hobby?]
 
Kuna wadada wengi vyuoni na hata maofisini kwa matendo wanayofanya hawajui kama ni umalaya
 
Mimi nadhani sio tu wanajiuza wakiwa huko Malasia. Kuna wengine wanasoma hapa hapa Tz na bado wanajiuza.
Nadhani kuna sababu zinawafanya kufanya hivyo
1. Kukidhi mahitaji yao ya kiuchumi.
Lakini kubwa linalosababisha yote hayo ni tatizo la kutojitambua.[/QUOTE]

Mkuu, wanajitambua sana lakini ni ugumu wa maisha maana bumu la bodi ya mikopo halitoshi hasa ukichukulia madada wanataka maisha ya juu.
 
Back
Top Bottom