Wanafunzi wa boarding;kama mnapika mkirudi unakuta wamekusaidia wenzio-tumia dulucolax

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Pengine ni vyema kuomba radhi kwa wale wote waliohusika na kuharisha mwaka 1999 pale pugu sec kutokana na kuniibia chakula changu ambacho nilitumia muda wangu kupika na samaki ..na baada ya kwenda na kurudi wah kadhaa wamenisaidia tena mbaya wamenibakizia ukoko tu wa wali

kwa kweli sikuwa na amani na kujiuliza zaidi nitawajuaje nikafululiza siku tatu napika wali wa nazi na samaki mnaojua wali na bdn vilivyo..baada ya siku ya tatu ya nne nikafanya ka party tukala bweni zima pale mapinduzi

baada ya kuumaliza siku inayofwata nikapika wali samaki na kuacha kwenda kukamua bila kujua wali ule nimechanganya na ile dawa ya kusafisha tumbo aka dulucolax....niliporudi nikaingia kitandani wakati niko kitandani nasikia mtu ananza kulalamika jamani leo ninaaharisha mbaya .. Waa chumba cha mbele akasema hivi ni chakula ha leo kinanini jamani??

Nilipotka nje nkakuta jamaa kadhaa wako nje karibu na choo wameinama kila mara wanaelekea chooni nidpo mmoja akashindwa imani akanifwata kuuliza hivi kwenye chakula chako umeweka nini
nikamjibu sijaweka kitu ni wewe umekula ,..akajibu nimeonja nikamwambia usiwe na wasi tafuta maziwa ya mtindi tu

ndipo nilipojua kumbe wabaya wangu walikuwa kwenye bweni la mapinduzi na si bweni lingine
 
aiseee mkuu huna tofauti yoyote na kapuya labda yeye tu kawahi kuwa profesa
 
we nilitaka kukubananisha kwa Juma wasiwasi au Ogesa akushuhulikie, pumbaaavu,yaani ulikuwa unajua watu hatuna hela ya kwenda kula kwa Mama Pendo halafu unaleta utani,watu tushachoka kula mihogo mwisho wa lami na kupandisha kilima cha baghadi na kwenda kupoz dukani kwa mwombeki kusikiliziza bongo fleva halafu tuingie dom tukute wali tuuuache?tukutane kisumu au kigogofresh,
CC all wazee wa pond a.ka kiwanda cha fangasi za ikulu
 
umenikumbusha kuna jamaa 1 yeye alikua hakosi juic tena anaweka kwenye vidumu au kijagi cku 1 tukanywa akatangaza jaman nan kanywa watu kimya akaanza kutemea mate ili watu wasinywe ehe mbona masela walikunywa na hizo mate zake. Aha aha aha boarding raha sana pamoja na matatzo mengine ila ni raha ilioje.
 
kuna jamaa alikuwa anaitwa big shuu alikuwa mtata mbaya siku moja kaleta wali umejaa karai kaweka katikati ya makamanda aisee ile unatua tu vijana wameshauzunguka mpaka unafika chini nusu karai hamna hapo yeye hajaugusa akaamua kuutemea mate yaani alichota kidogo akaweka mdomoni kisha akautemea kwenye karai bt makamanda wakabamiza tu aah noma sn
 
Pengine ni vyema kuomba radhi kwa wale wote waliohusika na kuharisha mwaka 1999 pale pugu sec kutokana na kuniibia chakula changu ambacho nilitumia muda wangu kupika na samaki ..na baada ya kwenda na kurudi wah kadhaa wamenisaidia tena mbaya wamenibakizia ukoko tu wa wali

kwa kweli sikuwa na amani na kujiuliza zaidi nitawajuaje nikafululiza siku tatu napika wali wa nazi na samaki mnaojua wali na bdn vilivyo..baada ya siku ya tatu ya nne nikafanya ka party tukala bweni zima pale mapinduzi

baada ya kuumaliza siku inayofwata nikapika wali samaki na kuacha kwenda kukamua bila kujua wali ule nimechanganya na ile dawa ya kusafisha tumbo aka dulucolax....niliporudi nikaingia kitandani wakati niko kitandani nasikia mtu ananza kulalamika jamani leo ninaaharisha mbaya .. Waa chumba cha mbele akasema hivi ni chakula ha leo kinanini jamani??

Nilipotka nje nkakuta jamaa kadhaa wako nje karibu na choo wameinama kila mara wanaelekea chooni nidpo mmoja akashindwa imani akanifwata kuuliza hivi kwenye chakula chako umeweka nini
nikamjibu sijaweka kitu ni wewe umekula ,..akajibu nimeonja nikamwambia usiwe na wasi tafuta maziwa ya mtindi tu

ndipo nilipojua kumbe wabaya wangu walikuwa kwenye bweni la mapinduzi na si bweni lingine

Mkuu na wewe ulikuwa Pugu?
Siye tulikuwepo hapo kitambo kiasi .
Pugu daima tatizo pale ni dish na maji
 
Mkuu na wewe ulikuwa Pugu?
Siye tulikuwepo hapo kitambo kiasi .
Pugu daima tatizo pale ni dish na maji
hata mm inabidi niulize, miaka ya 90' mlikuwa mnajipikia Boarding za DSM? mpaka kuwalisha Bweni zima basi starehe tupu
sisi tulimaliza kuna 80' mwishoni ilikuwa marufuku kupikia bwenini
Story ina mafundisho mengi na la muhimu ni lile la kuwajua wabaya wako.
Mleta Mada BASIASI HONGERA
 
Last edited by a moderator:
Mkuu na wewe ulikuwa Pugu?
Siye tulikuwepo hapo kitambo kiasi .
Pugu daima tatizo pale ni dish na maji

mmenikumbusha fungus za haja ndogo loh unamaliza 99 zinaisha 2002 kama ziko course mwilini mwa mtu maana kama u lawyer ushachukua degree
 
hata mm inabidi niulize, miaka ya 90' mlikuwa mnajipikia Boarding za DSM? mpaka kuwalisha Bweni zima basi starehe tupu
sisi tulimaliza kuna 80' mwishoni ilikuwa marufuku kupikia bwenini
Story ina mafundisho mengi na la muhimu ni lile la kuwajua wabaya wako.
Mleta Mada BASIASI HONGERA
Mkuu nilikuwa Pugu High School mwaka 1975, dish bado ilikuwa balaa!
 
Mm nakumbuka sana Kibasila Hostel Chang'ombe (St Xaviery) miaka hiyo ya 79' msosi ilikuwa kwenye bakuli na sahani zenye label ya GT na ilikuwa tunapikiwa jumla wote
Miaka ya sasa wanajipikia kweli ni mabadilko sana au ni .com ya 3G
 
we nilitaka kukubananisha kwa Juma wasiwasi au Ogesa akushuhulikie, pumbaaavu,yaani ulikuwa unajua watu hatuna hela ya kwenda kula kwa Mama Pendo halafu unaleta utani,watu tushachoka kula mihogo mwisho wa lami na kupandisha kilima cha baghadi na kwenda kupoz dukani kwa mwombeki kusikiliziza bongo fleva halafu tuingie dom tukute wali tuuuache?tukutane kisumu au kigogofresh,
CC all wazee wa pond a.ka kiwanda cha fangasi za ikulu

oooh jamani mama pendo yupoooo mmmhhh

jamani pendoooo nimrmmsiiii dadaa huyuuu aliwafungisha waungwakama treni ya mwakyembe mwenye kujua alipo anipe namba yake jamani

basiasi umenikumbusa mbali sanaa sanaaa aiseeee nilikuwa siamini kama nitaacha kujikuna huko................................mmhhhh nsssmini wenzangu nao wamepona maana maji ya pugu kwi kwi kwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom