Ikiwa mnadhamiria kweli ukombozi wa Nchi huanzia vyuo vya elimu ya juu, ila siku hizi ni mashaka... woga unatangulizwa mbele. Walioko rumande ni mashujaa, kwani wamejitoa mhanga kwaajili ya haki ya wengi. Sijui waliobaki kama wanatambua vizuri hilo.
Mbona nasikia wamerudishwa leo bila masharti?. Hii thread ulipaswa kuikamilisha kuwa walikuwa wamegoma tena kushinikiza kuachiwa kwa wenzao bila masharti. Na ndicho kilichotokea, wote 41 wameachiwa huru..,na ninadhani kesho wanaingia class kama kawaida. Alamsik
Mh!!! Post zingine!!! Umeweka kama unakimbizwa. Wamegoma saa ngapi nawe umeweka usiku? Ungesema wamepanga kugoma.
Pia umesema mwenyewe kuwa wanagoma kwa sababu ya kupinga wenzao kuwekwa ndani. Mbona conclusion yako haifanani na sababu uliyoeleza. Kama na wewe ni mwanafunzi hapo chuoni, Chunga sana maana kama kwenye mitihani huwa unaaeleza mengine na kutoa hitimisho nyingine, hutamaliza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.