Hivi Bongo tunasoma ili iweje?

TRABSOH

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
339
546
Wakuu habari,

Hivii Tanzania tuna soma ili iweje.Mataifa yote duniani elimu inatumika kumkomboa mwananchi kutoka mazingira duni na kuyaboresha , kuyatawala mazingira na si mazingira kumtawala mwanadamu.

Hapa nyumbani tuna baadhi ya vyuo venye kozi mbali mbali ambazo kwa macho ya nyama unaona zina tija lakini katika hali halisi vijana wanalalamika ajira hamna.

Na Wakati ajira zikionekana amna kuna utitiri wa mazao na rasilimali zinazolishwa Tanzania na kuuzwa njee kama malighafi na si bidhaa, nashindwa kuelewa sasa kama tuna wanafunzi wanaograduate kila siku na still amna innovations zinazotokana na elimu hizo au adaptation ya teknolojia kutoka nje ili kuongeza thamani malighafi zetu za ndani na ziuzwe njee kama bidhaa kamili sasa tunasoma na kutoa ela ndefu kwenye mikopo ili iweje?

Tanzania inajikuta katika changamoto kubwa za elimu na ajira, huku vyuo vikuu vikitakiwa kuwa injini ya mabadiliko ya kijamii na kiuchumi.

Hali hii inakinzana na dhima ya elimu duniani, ambayo ni kumkomboa mwananchi kutoka kwenye umaskini na kuboresha mazingira yake.

Vyuo vikuu nchini vinatoa kozi mbalimbali, lakini vijana wanalalamika kuhusu ukosefu wa ajira, wakati huo huo kuna utitiri wa malighafi zinazozalishwa Tanzania na kuuzwa nje kama malighafi tu, bila kuongeza thamani.

Kuna haja kubwa ya kubadilisha mfumo wa elimu ili kuchochea uvumbuzi na teknolojia, na kuongeza thamani ya malighafi za ndani ili ziuzwe nje kama bidhaa kamili.

Kutoa mikopo kwa wanafunzi ni hatua nzuri, lakini inapaswa kuelekezwa kwa njia ambayo itawawezesha kuanzisha miradi yao wenyewe na kuchangia katika maendeleo ya jamii.

Walimu wanapaswa kuwa mifano inayotoa mabadiliko ya kijamii, na elimu inayotolewa inapaswa kuhamasisha ujasiriamali na uvumbuzi.

Ni muhimu kuanzisha vituo vya uvumbuzi ndani ya vyuo vikuu ambavyo vitakuwa kazi yake kuvumbua majawabu ya changamoto za jamii kupitia wanafunzi wa taaluma husika.

Wanafunzi wanapaswa kupata fursa ya kutumia elimu yao kuleta mabadiliko katika jamii kwa kubuni suluhisho za changamoto za kitaifa na kimataifa.

Vyuo kama vile Chuo Kikuu cha Dodoma na Dar es Salaam vinaweza kuwa kiongozi katika kuleta mabadiliko ya kielimu na kijamii.

Elimu inapaswa kuwa chanzo cha tija na maendeleo, na wanafunzi wanapaswa kufundishwa kwa namna inayowawezesha kuwa nguvu ya mabadiliko katika jamii zao.

Tunapaswa kuwa na mtazamo mpya wa elimu na kuhakikisha inatoa thamani halisi kwa jamii yetu. Hii ndiyo njia ya kufikia lengo la kusoma ili kuwa na mabadiliko ya kweli nchini Tanzania na kuwa na vyuo vikuu vinavyochochea uvumbuzi na maendeleo endelevu..
 
Wakuu habari
Hivii Tanzania tuna soma ili iweje.Mataifa yote duniani elimu inatumika kumkomboa mwananchi kutoka mazingira duni na kuyaboresha , kuyatawala mazingira na si mazingira kumtawala mwanadamu.Hapa nyumbani tuna baadhi ya vyuo venye kozi mbali mbali ambazo kwa macho ya nyama unaona zina tija lakini katika hali halisi vijana wanalalamika ajira hamna.

Tanzania inajikuta katika changamoto kubwa za elimu na ajira, huku vyuo vikuu vikitakiwa kuwa injini ya mabadiliko ya kijamii na kiuchumi. Hali hii inakinzana na dhima ya elimu duniani, ambayo ni kumkomboa mwananchi kutoka kwenye umaskini na kuboresha mazingira yake.

Ni muhimu kuanzisha vituo vya uvumbuzi ndani ya vyuo vikuu ambavyo vitakuwa kazi yake kuvumbua majawabu ya changamoto za jamii kupitia wanafunzi wa taaluma husika. Wanafunzi wanapaswa kupata fursa ya kutumia elimu yao kuleta mabadiliko katika jamii kwa kubuni suluhisho za changamoto za kitaifa na kimataifa.
Vyuo kama vile Chuo Kikuu cha Dodoma na Dar es Salaam vinaweza kuwa kiongozi katika kuleta mabadiliko ya kielimu na kijamii. Elimu inapaswa kuwa chanzo cha tija na maendeleo, na wanafunzi wanapaswa kufundishwa kwa namna inayowawezesha kuwa nguvu ya mabadiliko katika jamii zao.

Mawazo yako ni sehemu ya madhara ya kua na elimu duni, mtu wa kulaumu katika nchi hi ni mwl Nyerere, hakutaka kuelimisha wa Tanzania zaidi ya kuwapa basics za elimu tu.
 
Elimu ni muhimu sana nchini Tanzania kwa sababu ina athari kubwa katika maendeleo ya mtu binafsi, jamii, na taifa kwa ujumla. Hapa kuna baadhi ya umuhimu wa elimu nchini Tanzania:

1. Kupunguza umaskini: Elimu inaweza kuwa njia ya kujiondoa katika umaskini kwa kuwawezesha watu kupata kazi bora na fursa za kujiajiri.

2. Kukuza ustawi wa jamii: Elimu inasaidia kujenga jamii yenye uelewa na maarifa, inayochochea maendeleo ya kijamii, na kupunguza migogoro.

3. Kuongeza uzalishaji wa kiuchumi: Watu wenye elimu wanaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa katika uchumi wa nchi kwa kuwa na ujuzi na maarifa ya kufanya kazi za kiuchumi.

4. Kupunguza magonjwa na vifo: Elimu inaweza kutoa ufahamu kuhusu afya na lishe bora, hivyo kupunguza magonjwa na vifo vinavyosababishwa na ukosefu wa elimu.

5. Kuendeleza teknolojia na uvumbuzi: Elimu inawawezesha watu kuchangia katika uvumbuzi na maendeleo ya teknolojia, ambayo inaweza kuchochea maendeleo ya kitaifa.

6. Kukuza demokrasia: Elimu inasaidia wananchi kuwa na ufahamu wa haki zao na kushiriki katika mchakato wa kisiasa, kuimarisha demokrasia.

7. Kujenga ustawi wa baadaye: Elimu inaandaa vizazi vijavyo kwa kuwapa maarifa na ujuzi wa kukabiliana na changamoto za siku zijazo.

Kwa kifupi, elimu ni msingi muhimu wa maendeleo katika nyanja zote nchini Tanzania na ina jukumu kubwa katika kuboresha hali ya maisha ya watu.
 
Mbona kwetu atusogei sasa kila kitu tuko dependent na misaada sio magonjwa wala umaskini wala maradhi vyote tumkabiliana navyo kwa nguvu kutoka nje na still avijaondoka
 
Mawazo yako ni sehemu ya madhara ya kua na elimu duni, mtu wa kulaumu katika nchi hi ni mwl Nyerere, hakutaka kuelimisha wa Tanzania zaidi ya kuwapa basics za elimu tu.
Leo nyerere yupo? Mbona elimu haina tija watanzania wengi awana uwezo wa kutatua changamoto za mzingira yao, teknolojia karibu zote tunanunua nje ata toothpick tu atuzalishi
 
Kaka walimu wana phd walichofanya ujui unategemea atafundisha nin wanafunzi kuhusu kuwa wavumbuzi, ma prof wanataka siasa sio kuwa wanamageuzi ya teknolojia na bunifu za kuwapa sifa kama wataalamu ao ndo walimu wanafunzi watakuaje?
 
Wakuu habari,

Hivii Tanzania tuna soma ili iweje.Mataifa yote duniani elimu inatumika kumkomboa mwananchi kutoka mazingira duni na kuyaboresha , kuyatawala mazingira na si mazingira kumtawala mwanadamu.

Hapa nyumbani tuna baadhi ya vyuo venye kozi mbali mbali ambazo kwa macho ya nyama unaona zina tija lakini katika hali halisi vijana wanalalamika ajira hamna.

Na Wakati ajira zikionekana amna kuna utitiri wa mazao na rasilimali zinazolishwa Tanzania na kuuzwa njee kama malighafi na si bidhaa, nashindwa kuelewa sasa kama tuna wanafunzi wanaograduate kila siku na still amna innovations zinazotokana na elimu hizo au adaptation ya teknolojia kutoka nje ili kuongeza thamani malighafi zetu za ndani na ziuzwe njee kama bidhaa kamili sasa tunasoma na kutoa ela ndefu kwenye mikopo ili iweje?

Tanzania inajikuta katika changamoto kubwa za elimu na ajira, huku vyuo vikuu vikitakiwa kuwa injini ya mabadiliko ya kijamii na kiuchumi.

Hali hii inakinzana na dhima ya elimu duniani, ambayo ni kumkomboa mwananchi kutoka kwenye umaskini na kuboresha mazingira yake.

Vyuo vikuu nchini vinatoa kozi mbalimbali, lakini vijana wanalalamika kuhusu ukosefu wa ajira, wakati huo huo kuna utitiri wa malighafi zinazozalishwa Tanzania na kuuzwa nje kama malighafi tu, bila kuongeza thamani.

Kuna haja kubwa ya kubadilisha mfumo wa elimu ili kuchochea uvumbuzi na teknolojia, na kuongeza thamani ya malighafi za ndani ili ziuzwe nje kama bidhaa kamili.

Kutoa mikopo kwa wanafunzi ni hatua nzuri, lakini inapaswa kuelekezwa kwa njia ambayo itawawezesha kuanzisha miradi yao wenyewe na kuchangia katika maendeleo ya jamii.

Walimu wanapaswa kuwa mifano inayotoa mabadiliko ya kijamii, na elimu inayotolewa inapaswa kuhamasisha ujasiriamali na uvumbuzi.

Ni muhimu kuanzisha vituo vya uvumbuzi ndani ya vyuo vikuu ambavyo vitakuwa kazi yake kuvumbua majawabu ya changamoto za jamii kupitia wanafunzi wa taaluma husika.

Wanafunzi wanapaswa kupata fursa ya kutumia elimu yao kuleta mabadiliko katika jamii kwa kubuni suluhisho za changamoto za kitaifa na kimataifa.

Vyuo kama vile Chuo Kikuu cha Dodoma na Dar es Salaam vinaweza kuwa kiongozi katika kuleta mabadiliko ya kielimu na kijamii.

Elimu inapaswa kuwa chanzo cha tija na maendeleo, na wanafunzi wanapaswa kufundishwa kwa namna inayowawezesha kuwa nguvu ya mabadiliko katika jamii zao.

Tunapaswa kuwa na mtazamo mpya wa elimu na kuhakikisha inatoa thamani halisi kwa jamii yetu. Hii ndiyo njia ya kufikia lengo la kusoma ili kuwa na mabadiliko ya kweli nchini Tanzania na kuwa na vyuo vikuu vinavyochochea uvumbuzi na maendeleo endelevu..
Hapa waziri ana masters anafumaniwa akiwa na hawara na mke wake wanatoroka akiendesha gari la serikali kodi yetu. Anapata ajali na kumuua hawara. Cha kushangaza second in command anamtembelea hospitalini kumpa pole. Amepona na amerudi kazini na kupwa lC300 nyingine mpya.
 
Back
Top Bottom