Wanafunzi 30 waacha LAW SCHOOL kwa UKATA!!

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
Habari wadau..taarifa zisizo rasmi toka kwa wanafunzi wanaoendelea na cohort ya 7 ya Law School of Tanzania zinasema kwamba wanafunzi wenzao karibu 30 wameacha kuendelea na masomo kutokana na ukata unaowakabili..inasemekana ni mwezi wa 2 sasa tangu waanze masomo, na serikali bado haijawapatia pesa yoyote ya kujikimu....kama habari hizi ni za kweli,,,SWALI NI KWAMBA???

>>>JE, BILLION 7 ZILIZOKUSANYWA KWENYE HARAMBEE YA CCM HAZIWEZI KUELEKEZWA HUKO???????
 
Ni kweli hiyo lakini au tena??????????????

Ingekuwa ni vyema kama yangepatikana hayo majina mpaka yakatimu thelathini.
 
??

>>>JE, BILLION 7 ZILIZOKUSANYWA KWENYE HARAMBEE YA CCM HAZIWEZI KUELEKEZWA HUKO???????

CCM ikiwasaidia itakuwa ni kama Rushwa ya Kampeni..! Jibu Haiwezekani...! hata kama wale waliochangia CCM wakisema wawasaidie BADO itakuwa TABU kwa wanachadema watakwenda mahakamani... kama ile issue ya kupandishwa mishahara ya wafanyakazi
 
Habari wadau..taarifa zisizo rasmi toka kwa wanafunzi wanaoendelea na cohort ya 7 ya Law School of Tanzania zinasema kwamba wanafunzi wenzao karibu 30 wameacha kuendelea na masomo kutokana na ukata unaowakabili..inasemekana ni mwezi wa 2 sasa tangu waanze masomo, na serikali bado haijawapatia pesa yoyote ya kujikimu....kama habari hizi ni za kweli,,,SWALI NI KWAMBA???

>>>JE, BILLION 7 ZILIZOKUSANYWA KWENYE HARAMBEE YA CCM HAZIWEZI KUELEKEZWA HUKO???????

Serikali ya CCM ilishasema kuwa wanafunzi wa law school wanatakiwa kujigharamia wenyewe maana hiyo kozi ni hiari wala hawalazimishwi. Ingawa ajira za sheria zina kipengele kinachomtaka mwanafunzi awe amepitia law school ndipo aajiriwe. Hivyo kuna umuhimu wa kuliangalia hili suala. Natumai tukimchagua DR. SLAA hili suala litashughulikiwa.

Twende tukampige kura DR. Slaa
 
Maana yake ni kwamba watoto wa matajiri tu ndio wataweza kuwa mawakili,au???
 
Back
Top Bottom