Wanafunzi 194 wapewa mimba kwa Mwezi 1 Wilayani Momba

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,352
5,575
GNmkPq0XIAM5lH4.jpeg
Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, wakati akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Chiwanda Wilayani humo.

Chongolo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Momba Kenan Kihongosi, kuwatafuta na kuwachukulia hatua wale wote waliosababisha mimba hizo kwa watoto waliochini ya miaka 18 na wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari.

Hata hivyo, ameagiza Mtendaji wa Kata ya Nkangamo na Mwenyekiti wa kijiji cha Chiwanda kutokubali kumaliza masuala hayo kienyeji, na watoe ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kwani wao ndio wanawatambua wananchi katika maeneo yao.

Chanzo: EastAfrica TV
 
Ndiyo maana kule mikoa ya Kusini niliona Wanafunzi wakike Shule za Msingi wakianza kutumia vikinga mimba/vipandikizi ili kuwakinga na mimba 🙌

Wanaume wenzangu tuwaache watoto wa kike wasome, ili watimize ndoto zao, tusianze kuwarubuni Kwa fedha ili tulale nao

Binafsi nilishasema, Siku nitakayopata mtoto wakike na Bibi yenu halafu nisikie Kuna Kijana/Mwanaume huko Mtaani anamsalandia/anatembea naye ....atajua Popo ni ndege ama mnyama 🙌
 
We mlee mtoto wako vizuri , ili akae mbali na uzinzi .

Watoto haujui kuwa wanapeana mimba wao kwa wao tena huko shuleni na mwisho wanasingizia bodaboda .

Muulize mwalimu yeyote akuambie kinachoendelea mashuleni .

Watoto wanapenda Sana ngono .
 
Inawezekana sisi Wazazi Kuna mahali tumeshindwa kutimiza majukumu yetu ya kimalezi ipasavyo, haiwezekani mtoto wa Shule ya msingi akaanza kujifunza ngono katika umri huo

Binafsi nimekuja kutom**a Kwa mara ya kwanza baada ya kuingia kidato cha Tano, tena baada ya kuonewa huruma na house girl mmoja nyumba ya jirani 🙌
 
😁😁
Hakika inafikirisha Sana mkuu.

Mkuu inafikirisha

Nipo mtaani hapa kuna mama Ana 35 Ila tayari Ana wajukuu wa tatu
Maana yake watoto hauwaambii kitu kuhusu ngono
 
Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, wakati akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Chiwanda Wilayani humo.

Chongolo amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Momba Kenan Kihongosi, kuwatafuta na kuwachukulia hatua wale wote waliosababisha mimba hizo kwa watoto waliochini ya miaka 18 na wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari.

Hata hivyo, ameagiza Mtendaji wa Kata ya Nkangamo na Mwenyekiti wa kijiji cha Chiwanda kutokubali kumaliza masuala hayo kienyeji, na watoe ushirikiano kwa Jeshi la Polisi kwani wao ndio wanawatambua wananchi katika maeneo yao.

Chanzo: EastAfrica TV
Safi sana. The pride of a real man is to plant plenty of seeds on fertile wombs.
 
Njia pekee ni kuigawa ile miaka 30, iwe 15 kwa 15 (wagawane hawa mabinti ili akili zikae sawa)
 
Hao watoto wajilinde na kuomba Mungu awaepushe tamaa ! Haaaki hiki kizazi cha sasa!!!❗❗❗
 
Inabidi tukazane tu mabibi na mabwana maana hakuna kingine cha kufanya
 
😁😁
Hakika inafikirisha Sana mkuu.

Mkuu inafikirisha

Nipo mtaani hapa kuna mama Ana 35 Ila tayari Ana wajukuu wa tatu
Maana yake watoto hauwaambii kitu kuhusu ngono
Kuna haja Wazazi tuongeze juhudi kwenye malezi ya watoto wetu, hata kama suala la utandawazi linaweza kuwa limechangia but muhimu tusimame imara kudhibiti mmomonyoko huu wa maadili.

Tusiache kuwaongoza kwenda kwenye nyumba za Ibada, wakiwa na hofu ya Mungu, Kwa sehemu inaweza kupunguza uvunjifu huu wa maadili miongoni mwao
 
Back
Top Bottom