Wanafki wote Duniani huumbuliwa kama Feitoto, hii ipo mpaka Marekani. Yanga ikibeba kombe kuna watu watakufa

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,607
93,401
Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile video clip.

Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi.

Sasa leo kuna watu watalia kabisa wakati Yanga inakabidhiwa kombe.

Mungu siyo Athumani na wala si Mwamedi.
 
Kombe gani labda tuanzie apo?

Kwenye fainali hilo haliwezekan,zingekuwa mechi zingine ningeweza kukubali
Kinachowauma ni hiki.

FB_IMG_1685678819686.jpg
 
Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimija sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais watu wakavujisha ile video clip.

Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi.

Sasa leo kuna watu watalia kabisa wakati Yanga inakabidhiwa kombe.

Mungu siyo Athumani na wala si Mwamedi.
Acha kuota wewe....
Young African haitobeba kombe kamwe.

Never ever Never ever Never ever Never ever.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kinachowauma ni hiki.
Tunajua mkakati ni Yanga ishinde ndio Maana ameenda na huyo mtu wa tatu kwenye picha mstari wa kwanza kutoka kushoto baada ya huyo Mama mwenye ushugi wa njano.

Na lengo hasa 2025 waje waseme ni sehemu ya mafanikio ya Mama Kwa miaka yake aliyotawala mkiweka msisitizo na hizo fedha anazotoa na hiyo ndenge zinaingia kwenye kampeni 2025.

Ila Mungu anawapenda Watanzania hata kama hawana akili sawa sawa Yanga Leo anapigwa.
 
Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile video clip.

Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi.

Sasa leo kuna watu watalia kabisa wakati Yanga inakabidhiwa kombe.

Mungu siyo Athumani na wala si Mwamedi.
Dah
 
Ndio hatutapenda kwasababu itakuwa kero kuanzia mtaani mpaka mitandaoni

Hivyo na sisi tukishinda naomba msife kwa maumivu maana hili kombe ni la wote
Utashinda vipi kombe wakati muda wa kusajili ni huu na hamna la maana mnalofanya zaidi ya kuiombea Mabaya Yanga?

Mnachosahau Yanga tayari iko kamili INA kikosi bora wala hatuitaji usajiri mkubwa ni kufanya replacements ndogo tu kwenye mapungufu.
 
Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile video clip.

Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi.

Sasa leo kuna watu watalia kabisa wakati Yanga inakabidhiwa kombe.

Mungu siyo Athumani na wala si Mwamedi.
Yanga ni timu ya wananchi wenye akili
 
Utashinda vipi kombe wakati muda wa kusajili ni huu na hamna la maana mnalofanya zaidi ya kuiombea Mabaya Yanga?

Mnachosahau Yanga tayari iko kamili INA kikosi bora wala hatuitaji usajiri mkubwa ni kufanya replacements ndogo tu kwenye mapungufu.
Mwarabu piga hao vyura bila huruma
 
Kwa wafuatiliaji wa mambo mtakumbuka Mchungaji anayeheshimika sana Marekani Jesse Jackson black Man akiwa kwenye mahojiano off Air akamponda Barrack Obama hawezi kuwa Rais, watu wakavujisha ile video clip.

Siku Barrack Obama anatangazwa mshindi Mchungaji Jesse Jackson alitokwa na machozi.

Sasa leo kuna watu watalia kabisa wakati Yanga inakabidhiwa kombe.

Mungu siyo Athumani na wala si Mwamedi.
Yanga 2 - Mwarabu 0
 
Utashinda vipi kombe wakati muda wa kusajili ni huu na hamna la maana mnalofanya zaidi ya kuiombea Mabaya Yanga?

Mnachosahau Yanga tayari iko kamili INA kikosi bora wala hatuitaji usajiri mkubwa ni kufanya replacements ndogo tu kwenye mapungufu.
Wewe ndio unaona hatuna la maana.

Halafu mimi sio kama naiombea Yanga isishinde.

Mfano kwenye mechi yetu ya kwanza hapa kwenu kwa Mkapa nilitaka sisi tupate tu goli la ugenini, hivyo hata mechi ingeisha mmetufunga sisi bado msingekuwa mmetuhatibia mahesabu.

Hata mechi ya leo naomba mpate ushindi wa goli 1 kwa bila.

Lakini utakuta pamoja na dua hiyo bado mtakasirika.
 
Back
Top Bottom