Wanadamu tujikumbushe kwa Andiko hili

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Warumi 1:21-25

21. Ingaww wanajua kuna Mungu, lakini hawampi heshima anayostahili, wala hawamshukuru. Badala yake, fikira zao zimekuwa batili na akili zao tupu zimejaa giza.

22. Wanajidai kuwa wenye hekima, kumbe ni wapumbavu.

23. Wanaacha kumwabudu Mungu aishiye milele, na badala yake, wanaabudu sanamu zilizo mfano wa binadamu ambaye hufa, mfano wa wanyama, ndege, au wanyama watambaao.

24. Kwa sababu hiyo, Mungu amewaacha wafuate tamaa mbaya za mioyo yao na kufanyiana mambo ya aibu kwa miili yao.

25. Wanaubadili ukweli juu ya Mungu kwa uongo; wanaheshimu na kuabudu kiumbe badala ya Muumba mwenyewe, ambaye ndiyea stahiliye sifa milele! Amina.

Dunia inaenda kasi saana Mara ushoga
Mara michechezo ya ngono
Kesho unaweza kusikia imepitishwa sheria mtoto kuoa Mama yake ni Sawa Kaka na dada kuoana ni Sawa.

Yaani hakuna maadili tena duniani mambo ya aibu imekuwa starehe ya watu fulani.
 
Back
Top Bottom