Elections 2010 Wanachuo 919 kukosa kupiga kura makete

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Wanafunzi 919 wa chuo cha ualimu Tandara Makete watakosa haki yao ya msingi ya kupiga kura
Sababu ya msingi ni kuwa chuo kimefungwa na mbaya zaidi walijiandikisha uko uko
MY TAKE
Where is the democracy that CCM is taking pride on.
 
Back
Top Bottom