Wanachotaka ni wao wasikike lakini sio wapinzani

Upinzani bado sana kwa hapa kwetu ndugu. Hawa tulionao ni wachumia tumbo tu na CCM itaendelea kuwepo sana. Mark my words. Upinzani si kutukana mkubwa wangu. Nakupa pole sana.
Na hata umasikini utaendelea kutamalaki licha ya kuwa na rasmali tele hadi tujitambue kuweka watu wenye mawazo mapana sio hawa wachumia tumbo walio tuangusha kwa miaka yote leo wanajifanya malaika
 
Like you as well can very much talk the talk that u can never walk..

Ishi maneno yako.. weka unafiki pembeni..

Umekomaa na sukari wakati 98% ya tatizo la madawati tumeshalimaliza..
Bisha nikuitie Msigwa hapa akuthibitishie..

Mkiacha uzandiki na unafiki ipo siku kwenye siku za usoni tutavuka lengo na sukari unayoililia tutakugawia bure..
Hapa umechemsha. Mnaua Elimu yetu. Ni kwa vipi Elimu inaendeshwa kwa kufinyanga finyanga mambo? mlianza na maabara mkafinyanga yako wapi? mkaja na walimu wa sayansi mkafinyanga yako wapi? Walimu fasta fasta mkafinyanga yako wapi? elimu bure mnafinyanga finyanga yako wapi? Sasa la madawati. Hata mabanzi yametengeneza madawati, mbao za mipapai zinatengeneza madawati nk na madawati yamefuatia musukumo kama aliokuwa nao ombaomba Matonya. Alipokuwa akiomba ukamunyima anakufuatisha matusi, alikuwa akiomba kila mtu bila kujali ni adui au rafiki yake. Nilishangaa nilipokuta Uzi ha jf ukisema Jpm amesema Wachina wana pesa nyingi tu kutukopesha. Ilikuwa baada ya kukopeshwa trillion 16. Nikajiuliza maswali. Reli no muhimu lakini Elimu no muhimu zaidi na zaidi. Kama kupanga no kuchagua kwa nini huo mkopo wote usingekopwa kuboresha Elimu? Basi labda IPO sababu, kwa nini wasikope kwa vyote maana tumeshazoea madeni? Wakati mwingine mjue hata wa vijijini wana fikiri. Kuna siku mbuzi hawa watakata kamba.
 
Sifa kubwa ya hawa jamaa wa kijani ni kujipendekeza, chunguza utaona....

99% ni wale wenye viambisheni uchwara vya kuwa viongozi. Na siku zote wasiojiamini wanakimbilia huko ili mambo yake yaende hata akiuza unga poa tu.

Wanafiki wote wa nchi hii wapo huko. Sina chama ila sipendi unafiki.
 
Hapa umechemsha. Mnaua Elimu yetu. Ni kwa vipi Elimu inaendeshwa kwa kufinyanga finyanga mambo? mlianza na maabara mkafinyanga yako wapi? mkaja na walimu wa sayansi mkafinyanga yako wapi? Walimu fasta fasta mkafinyanga yako wapi? elimu bure mnafinyanga finyanga yako wapi? Sasa la madawati. Hata mabanzi yametengeneza madawati, mbao za mipapai zinatengeneza madawati nk na madawati yamefuatia musukumo kama aliokuwa nao ombaomba Matonya. Alipokuwa akiomba ukamunyima anakufuatisha matusi, alikuwa akiomba kila mtu bila kujali ni adui au rafiki yake. Nilishangaa nilipokuta Uzi ha jf ukisema Jpm amesema Wachina wana pesa nyingi tu kutukopesha. Ilikuwa baada ya kukopeshwa trillion 16. Nikajiuliza maswali. Reli no muhimu lakini Elimu no muhimu zaidi na zaidi. Kama kupanga no kuchagua kwa nini huo mkopo wote usingekopwa kuboresha Elimu? Basi labda IPO sababu, kwa nini wasikope kwa vyote maana tumeshazoea madeni? Wakati mwingine mjue hata wa vijijini wana fikiri. Kuna siku mbuzi hawa watakata kamba.
Hivi kwani ninyi mlipokua mnahubiri elimu bure mlikua mna maanisha nini??

Maana mlivyo wasanii, huenda ikijua kiki tu ya kujichotea kura za wananchi but hamkuwa na nia ya dhati ya kuitekeleza wala hamkujua itatekelezekaje....
Mmepigwa na butwa la ajabu kuona JPM na serikali yake wanaitekeleza na imewezekana..
Long Live JPM..!!!

We endelea kufinyanga vyungu, tutakufikia tu when the time is right na soko la vyungu vyako tutakupatia tena la kimataifa..

Kamsome "Dambisa Moyo" na kitabu chake "DEAD AID" ndio utaelewa sera za JPM na serikali yake..
 
Upinzani bado sana kwa hapa kwetu ndugu. Hawa tulionao ni wachumia tumbo tu na CCM itaendelea kuwepo sana. Mark my words. Upinzani si kutukana mkubwa wangu. Nakupa pole sana.
Haya waacheni hao unaowaita wachumia tumbo wafanya siasa zao,
Kama hawana madhara kwanini mnaingiwa hofu na kukataza mikutano yao?
Upinzani sio kutukana ila nyie CCM mkipewa majibu ya vijembe mlivyotoa hapo Dodoma jana mtapanic na sisi haturudi nyuma tutahakikisha mnabeba mimba hata ya Kobe kwasababu mmejipanua wenyewe.
 
Like you as well can very much talk the talk that u can never walk..

Ishi maneno yako.. weka unafiki pembeni..

Umekomaa na sukari wakati 98% ya tatizo la madawati tumeshalimaliza..
Bisha nikuitie Msigwa hapa akuthibitishie..

Mkiacha uzandiki na unafiki ipo siku kwenye siku za usoni tutavuka lengo na sukari unayoililia tutakugawia bure..
Tatizo la madawati wananchi wanatoa pesa zao mfukoni na mlitangaza elimu ni bure.
Mtavumilia tukianza kujibu mliyoyanena jana dhidi ya upinzani?
 
Kwa jinsi upinzani unavyofanya mambo ya. Kitoto bora ufutwe kabisa maana hakuna faida ya kuwepo Kwao!!
Kweli kabisa kusema traffic police apewe 5000/= ya kubrash viatu ni utoto wa hali ya juu.
Kuagiza polisi waibe tairi za watuhumiwa ni utoto wa kiwango cha lami.
Kupiga marufuku sukari kuingia kutoka nje ya nchi na kupelekea mfumuko wa bei ni utoto haswaa.
 
Mkuu nakuhakikishia ata uchaguzi ufanywe kesho alafu ukawa wasifanye kampeni ccm haishindi wananchi wameshasikia Na kuelewa sasa
Na wao wanalijua hili,siasa gani hizi wengine wanafanya but wengine wanazuiliwa.
Mkwere kawaambia jana kuwa mwenzetu wanaenda kwa watu na ninyi nendeni.
 
Na Seif yupo the Hague kusema yote,mnadhani haitakuwa noted et eee?Subirini mtaona.
Et bunge hakuna haaaa !!si maajabu haya
 
Upinzani bado sana kwa hapa kwetu ndugu. Hawa tulionao ni wachumia tumbo tu na CCM itaendelea kuwepo sana. Mark my words. Upinzani si kutukana mkubwa wangu. Nakupa pole sana.
Hivi kuna wachumia tumbo kama ccm? Mafisadi ni wao,wala rushwa ni wao. Hadi kupitishwa uenyekiti wa mtaa wanatoa rushwa.
 
Tatizo la madawati wananchi wanatoa pesa zao mfukoni na mlitangaza elimu ni bure.
Mtavumilia tukianza kujibu mliyoyanena jana dhidi ya upinzani?
Sasa mjomba wewe ulitaka yafanyike mazingaombwe madawati yapatikane ama??

Kwani ninyi mlipo hubiri elimu bure mulitegemea muujiza gani ambao leo kusingekuwa na uhaba wa dawati??

Wananchi wanachangia dawati kwa hiari yao na kwa mapenzi yao.. na yote haya ni kutokana na wananchi kuwa na imani na matumaini serikali yao na Kiongozi tuliyemtaka ndio huyu tumempata..
Mwacheni JPM awatumikie watanzania.. ninyi wenye zenu chuki na hila mtupishe kwanza... talk talk too much, doing nothing..
 
Back
Top Bottom