WanaChadema wanaendesha kampeni katika mitandao ya WhatsApp Magufuli ashindwe tuzo ya FORBES 2016

Anyone can make any claim.

That position is contradicted by actual events.

Of course you also can make claim and in fact you are. What you call actual events is your personal perception based on personal conviction of how you perceive Magufuli, which is subjective, unfortunately.
 
A few people heading major media conglomerates can decide to design a poll that will promote whomever they see fit.

The public could be fed subconscious images of this person until they think they love him for themselves.

Polls can show the public love this person.

This person can then use that capital for political gain and ascend to the throne to cut deals with his mentors.

We have seen this in Zanzibar when Salmin Amour was being promoted.

Do you know that right now CCM is grooming a good number of current leaders sons, half of them worthless, using the same tactics.

Have you heard of Zefran Lubuva?

You are just as making claims as anyone can.
 
NI bif tu na chuki,we hushangai lugumi hakuna wa kuigusa

OVA
Kwa hiyo huamini upotevu wa fedha alioufanya mpaka mahakama ikathibitisha kwa kumtia hatiani? Hapa nazungumzia Uthubutu wa kushughulika na wakubwa serikalini kama huyo aliyekuwa Waziri wa Fedha. Kwa hiyo hata hawa sisimizi wanaopelekwa na Magu mahakamni ni bifu zao tu? Kweli Tanzania tuna kazi
 
Of course you also can make claim and in fact you are. What you call actual events is your personal perception based on personal conviction of how you perceive Magufuli, which is subjective, unfortunately.
Positions can be verified by actual events.

Magufuli is an inconsistent loudmouth with neither the political dexterity nor the requisite discipline for statecraft.

That is a fact.
 
TUZO HIYO NI HEWA MAGAMBA WAMEANGUKIA PUA.....lizaboni&co hoi bin taabani

OVA
 
watu wanajua kuonea MTU kinafiki. wanakuchagua makusudi ili siku ikifika wadhibitishe kwa macho yao si wanajua hapa hakuna cha bukoba wala nn?? watu ni wabaya sana wanakutafuta mpaka unashindwa kufanya uwakilishi . binadamu niwabaya sana.
 
Hiyo tuzo ina faida gani kwa watanzania na taifa kwa ujumla??..naomba kufahamishwa!
 
Mwanamama anaeishi Bwanga au Mganza chato huko ivi Tuzo ya Forbes inamsaidia nini? Mbona watanzania tumekua wajinga ivi
 
Makubwa tunakampeni tena. Kwani lazima juma tuuu ndio uzalendo! Mzalendo wa kwanza ni nani katika katiba yako? Vipi huyo wa kwanza anatekeleza wajibu wake wa kizalendo? Tumekalia politiki tu kazi hatufanyi kila kitu siasa tu mpaka uchaguzi wa mitandaoni nao uwe umaarufu baadae kuwa wanaolalamika hawako sahihi wakati unawataka wakampigie kura khaa! Mengine tuache yapite tu.
 
Wadau nimeshitushwa na kutahayari baada ya kupokea ujumbe wa whatsapp unaosambazwa kwa kasi katika magroup ya wana ukawa na chadema, wakihamasishana kupiga kura kwa wingi ili Rais John Pombe Magufuli ambaye amechaguliwa kuwa ni miongoni mwa wanaoshindania tuzo ya FOBES ya watu mashuhuri kwa mwaka 2016 Afrika.

Ujumbe huo unawataka wana ukawa na Chadema kumpigia kura mtu wa Rwanda ili Rais Magufuli asishinde tuzo hiyo, sehemu ya ujumbe huo inasema hivi “Tupige kura THE PEOPLE OF RWANDWA ili asishinde na tusigawe kura kuonesha kuwa kuminya DEMOKRASIA HAKUMPI MTU UMASHUHURI."

Katika ujumbe huo ambao wameambatanisha na link ya fobes ambayo ndio wanapoingia wapiga kura na kumchagua mshindi wa tuzo hiyo ya FOBES, wameweka maneno haya, ingia apo usimpigie kura Magufuli pigia peole of Rwandwa makamanda tujitahidi sana.

Maoni yangu

Kwanza nasikitika sana kwa chadema kufanya mambo ya hovyo hovyo kabisa kwa kuendekeza siasa na kuacha uzalendo, inaonekana hata ikitokea nchi tukaingia vitani na maadui wa Tanzania hawa jamaa watawaunga mkono maadui kwa kuendekeza siasa, ifikie hatua tusifanye siasa kama usimba na yanga yanapojitokeza mambo ya kitaifa kama hili hatuna budi kuungana jambo linapomalizika tuendelee na ushabiki wetu kisiasa. Binafsi hata kama simkubali Mbowe na Lowassa lakini kama wangekuwa nao washiriki katika Tuzo hiyo ningewachagua kwa kuwa tu ni Watanzania wenzangu na heshima kwa taifa pia.

Pili Hata kama hawataki lakini wanapaswa kujua kuwa Rais Magufuli ni maarufu hata kama asingeshindwanishwa katika tuzo hiyo, nafasi yake ya urais na harakati zake za kuondoa kero na zinazowakabiri watanzania vimemfanya awe maarufu kulikoi hiyo tuzo anayoshindanishwa, wanajisumbua tu kwa kuendesha kampeni ambazo haziwasaidii lolote katika siasa zao zaidi watanzania tutazidi kuwapuuza kwa ujinga na uhovyo wao.
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/11389
 
Kwahiyo?
 
Back
Top Bottom