Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
unamaanisha nipo ukweni kwao?
Iweeee...ah kumbe hujui...teh njoo nikufundishe kihaya
unamaanisha nipo ukweni kwao?
nimekumiss..
Unamuingiza mjini au?Iweeee...ah kumbe hujui...teh njoo nikufundishe kihaya
kumbuka pia waweza pita kwetu siko moja!!? is that hayan hospitality?
Kwenu wapi mbona hupataji?
Kama sio dodoma ni singida.
Shem wangu mambo niaje
kwa maakuli (breakfast, lunch & dinner)Kuna triple 8 (888) wana msosi bomba na bei ya mtanzania.
Chai mia 5.bei ya mtanzania ni sh ngap?
Khaaa, umetuibia walahi tena...bisha nimuite Bishanga..hahahahahah!......
ooomushaaiiiijaaaaa uliiiiimooooo????...
naliii na finest....!
naliii na mulooookooozi....!
naliii na kyabushaaaiiijaa....!
naliii na max (zee big bosssi)....!
bei ya mtanzania ni sh ngap?
mambo mzuka shem, ning'arishie swahiba wangu.
hahahahahah!......
ooomushaaiiiijaaaaa uliiiiimooooo????...
naliii na finest....!
naliii na mulooookooozi....!
naliii na kyabushaaaiiijaa....!
naliii na max (zee big bosssi)....!
Iwe nogamba bikisi ebi, iwe noboneka watamala
Muhaya hawezi kukaa sehemu kama hizo hata kidogo
muhaya anakaa wapi?
we acha tu binti, kuna bukoba hotel ipo ziwani na samaki wanavuliwa hapo hapo lakini samaki anauzwa elfu12, nilikuwa huko kuna siku nilitaka nirushe ngumi eti 'mountain dew' sijui nimepatia, inauzwa elfu mbili wkt soda nyingine mia sita alafu hapo nimeagiza mbili na niliuliza wakaniambia soda mia6