wana JF wa Bukoba mpo?

kaka hiyo lugha siijui kabisaaaaaaaa!!! umenikumbusha leo ilinibidi niwe mpole maana kutoka Kamachumu hadi bukoba gari zima kuanzia konda, dereva na abiria wooote kasoro mimi walikuwa wanaonge kihaya tu. nakumbuka konda aliongeea kiswahili aliponiomba nauli baada ya kushtukia mie siijui hiyo lugha!! vipi uko huku? na wewe ni nshomile?

kamachumu ndo kijijini kw2 aise umenkumbusha mbali..
 
Ukiwa kamachumu,pale kuna hotel nzuri kdgo inaitwa kamachumu inn.bukoba mjin ipo walkguard ama nile parch...
 
duh! Ila kuna maneno tunachakachuliwa balaa. Nikija huko utanipeleka?

nipo huku kwa wala urojo ila nikienda tena kule nitakutaarifu tukutane hapo centre ya mji mkuu, lkn ujue safari ya kule kulala ndani ya basi si jambo la ajabu.
 
Back
Top Bottom