Elections 2010 Wana JF sijui hii iko je

Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,940
3,041
Niko kwenye mihangaiko ya kawaida nimemwomba mke wangu akacheki hali ya kituo tuliko pigia kura kama wamemaliza lakini cha ajabu amekuta kimefungwa na hakuna watu na alipo Uliza watu wa maeneo hayo wamedai wameondoka na kura kwenda kuzihesabia kwenye ofisi ya kata.
Hii kitaratibu imekaaje?
Toka .Jimbo la Kigamboni
 
Katika hali kama hii si ni rahisi kura kuchakachuliwa? au ndiyo utaratibu mpya ambao Tume ya Uchaguzi hujiamulia.
 
Hapo ni mchakachuo mbele kwa mbele. Wamefanya makosa makubwa. Kwa nini hawajatoa taarifa kwa wahusika wa vyama vya upinzani?
 
Niko kwenye mihangaiko ya kawaida nimemwomba mke wangu akacheki hali ya kituo tuliko pigia kura kama wamemaliza lakini cha ajabu amekuta kimefungwa na hakuna watu na alipo Uliza watu wa maeneo hayo wamedai wameondoka na kura kwenda kuzihesabia kwenye ofisi ya kata.
Hii kitaratibu imekaaje?
Toka .Jimbo la Kigamboni
Naomba tu wasimuibie Komu Tu...:nono:
 
Back
Top Bottom