Wana JF nisaidieni hapo!!'

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,203
1,462
Jamani mwenzenu nahesabu siku tu nivute kajiko kangu ka gas niwe napikia peke yangu'sasa hebu nisaidieni kawifi kenu au kashemeji kenu kavae ipi siku yenyewe kati ya hiyo namba 1 au 2? Na kiwifi chenu au kishemeji chenu ni kinamba 1 hivyo hvyo kama huyo na kitall hvyo hvyo'

Jamani hapa ni chit chat sio kwenye siasa tuelewane kabla'
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1347953347221.jpg
    uploadfromtaptalk1347953347221.jpg
    40.3 KB · Views: 54
Kapigilie cha kwanza kakîwa church,afu ukumbini kapige cha pili'
 
Baba V poa mkuu ila mimi niko mrengo wakulia itakuwa ukumbini tu,poa lakini kwa mchango wako ngoja niskilizie wadau wengine
 
Nguo hizo mziangaliage vizuri,
usijekuta kagauni kameshuka na manyo nyo yote yakabaki peupe mbele ya akina mkwe.

Jamani mwenzenu nahesabu siku tu nivute kajiko kangu ka gas niwe napikia peke yangu'sasa hebu nisaidieni kawifi kenu au kashemeji kenu kavae ipi siku yenyewe kati ya hiyo namba 1 au 2? Na kiwifi chenu au kishemeji chenu ni kinamba 1 hivyo hvyo kama huyo na kitall hvyo hvyo'

Jamani hapa ni chit chat sio kwenye siasa tuelewane kabla'
 
Avae km huyo pichani tuambie harusi lini na kwenye harusi siyo mavazi tu ungesema na rangi uliyochagu siku hiyo ili tusaidiane na hilo pili kumbuka shughuli watu.
 
Yeye anapenda pink colour kati ya hizo yyte atavaa'kadi nitagawa kwa wana jf wote hapa na wataokuwa mitaa ya shy town mungu akipenda watashudia live ndani ya NSSF hall
 
pick colour pekee au kuna rangi nyingine jaribu kuangalia na rangi ya mwaka.
 
Mmmhhh? hiyo ya picha kubwa uliitoa wapi?
Ndio dress ya mchumbake Kambaku wa JF
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom