Wana JF nisaidieni hapo!!'

gauni namba 2 inafaa kama mwanamke ana shape yake, ingawa mkanda wa pili uliopita begani nina shaka kama utapendeza iwapo ataweka shela, unless avae veil(sijui nimepatia jina, vile kama vikofia, sio virefu)

gauni namba moja sijalipenda hivyo siwezi sema chochote
 
Oooh gud mzee nimependa mawazo yako thanks
 
Back
Top Bottom