Wana jf naombeni mnijuze matokeo ya simba

NCHABIRONDA

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
298
107
Jamani wana Jf naombeni msinishangae mi tangu jana niko kijijini. Huku kijijini kwe2 ni taabu tupu!! hata mawasiliano ya redio ni shida huku inasikika TBC TAIFA NA RFA tu . Kwa yeyote mwenye matokeo ya Simba naomba anijuze.
 
ila si kuna internet au?
 
Back
Top Bottom