Wana JF, mnajua maana ya neno 'lol'?

myhem

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
933
358
Kwanza samahani wana jamvi kwa kuweka huu uzi kwenye jukwaa la siasa badala ya lugha.Najua huku ndo wengi wetu tunapenda kutembelea mara kwa mara kwani siasa ndo zinaendesha nchi.

Nimekuwa nikiona mara kwa mara wachangiaji wengi wanapenda kutumia hiki kibwagizo cha 'lol' bila kujua maana yake halisi.Mwingine utaona kabisa anamaanisha 'looh!' lkn yeye ataandika lol! Sasa leo naomba niwaeleweshe baadhi yetu wanaotumia hili neno vibaya ili wasilitumie hovyo hovyo.LOL ni abbreviation ya 'laughing out loud'
Hivyo basi kuanzia leo sitemegemei kuona mtu anachemka tena kuhusu neno hili.

PIa kwa faida ya wengine naomba niwawekee na vibwagizo vingine ambavyo vitawasaidia kwenye comment zenu.Wengi wetu wanavijua ila kuna wachache nadhani hawavijui.

LMAO ("laughing my ass off")
ROTFL ("roll(ing) on the floor laughing")
BWL ("bursting with laughter",

aksante kwa kutujulisha maana wengi tu hatujui

We una uhakika gani na anachomaanisha fulani kama hata kuwepo karibu nae ili umsome usoni haupo?!

Ukiangalia tu jinsi alivyoandika sentensi yake utajua tu anamaanisha neno gani.By the way mi nilitaka tu kuwajulisha wachache wanaolitumia sivyo ndivyo neno hilo.

Kwanza samahani wana jamvi kwa kuweka huu uzi kwenye jukwaa la siasa badala ya lugha.Najua huku ndo wengi wetu tunapenda kutembelea mara kwa mara kwani siasa ndo zinaendesha nchi.

Nimekuwa nikiona mara kwa mara wachangiaji wengi wanapenda kutumia hiki kibwagizo cha 'lol' bila kujua maana yake halisi.Mwingine utaona kabisa anamaanisha 'looh!' lkn yeye ataandika lol! Sasa leo naomba niwaeleweshe baadhi yetu wanaotumia hili neno vibaya ili wasilitumie hovyo hovyo.LOL ni abbreviation ya 'laughing out loud'
Hivyo basi kuanzia leo sitemegemei kuona mtu anachemka tena kuhusu neno hili.

PIa kwa faida ya wengine naomba niwawekee na vibwagizo vingine ambavyo vitawasaidia kwenye comment zenu.Wengi wetu wanavijua ila kuna wachache nadhani hawavijui.

LMAO ("laughing my ass off")
ROTFL ("roll(ing) on the floor laughing")
BWL ("bursting with laughter",

Asante kwa hiyo ya LMAO

Nyingine ASAP (As soon as possible)
and by the way lizzy upo creative WAL sounds cul!

Mnajua sisi wengine humu ndani wadutch. Lol kwa kidutch means fun.
Kuna lugha fulani lol inamaanisha 'nonsense'. Kwahiyo mtoa mada humu watu wanaelewa wanachoongea labda wewe ndio huelewi.
Hili lisredi lako kwanza ni lol!

Similar Discussions

Back
Top Bottom