Lots Of Love - What does LOL stand for? Acronyms and abbreviations by the Free Online Dictionary.Kwanza samahani wana jamvi kwa kuweka huu uzi kwenye jukwaa la siasa badala ya lugha.Najua huku ndo wengi wetu tunapenda kutembelea mara kwa mara kwani siasa ndo zinaendesha nchi.
Nimekuwa nikiona mara kwa mara wachangiaji wengi wanapenda kutumia hiki kibwagizo cha 'lol' bila kujua maana yake halisi.Mwingine utaona kabisa anamaanisha 'looh!' lkn yeye ataandika lol! Sasa leo naomba niwaeleweshe baadhi yetu wanaotumia hili neno vibaya ili wasilitumie hovyo hovyo.LOL ni abbreviation ya 'laughing out loud'
Hivyo basi kuanzia leo sitemegemei kuona mtu anachemka tena kuhusu neno hili.
PIa kwa faida ya wengine naomba niwawekee na vibwagizo vingine ambavyo vitawasaidia kwenye comment zenu.Wengi wetu wanavijua ila kuna wachache nadhani hawavijui.
LMAO ("laughing my ass off")
ROTFL ("roll(ing) on the floor laughing")
BWL ("bursting with laughter",

haha, let me add some

RIP= rest in pieces

RIP= rest in peace

am i genious?

Kwanza samahani wana jamvi kwa kuweka huu uzi kwenye jukwaa la siasa badala ya lugha.Najua huku ndo wengi wetu tunapenda kutembelea mara kwa mara kwani siasa ndo zinaendesha nchi.

Nimekuwa nikiona mara kwa mara wachangiaji wengi wanapenda kutumia hiki kibwagizo cha 'lol' bila kujua maana yake halisi.Mwingine utaona kabisa anamaanisha 'looh!' lkn yeye ataandika lol! Sasa leo naomba niwaeleweshe baadhi yetu wanaotumia hili neno vibaya ili wasilitumie hovyo hovyo.LOL ni abbreviation ya 'laughing out loud'

Hivyo basi kuanzia leo sitemegemei kuona mtu anachemka tena kuhusu neno hili.

PIa kwa faida ya wengine naomba niwawekee na vibwagizo vingine ambavyo vitawasaidia kwenye comment zenu.Wengi wetu wanavijua ila kuna wachache nadhani hawavijui.

LMAO ("laughing my ass off"

ROTFL ("roll(ing) on the floor laughing"

BWL ("bursting with laughter",

Just learn to appreciate when u learn something new from a friend
Kwanza samahani wana jamvi kwa kuweka huu uzi kwenye jukwaa la siasa badala ya lugha.Najua huku ndo wengi wetu tunapenda kutembelea mara kwa mara kwani siasa ndo zinaendesha nchi.
Nimekuwa nikiona mara kwa mara wachangiaji wengi wanapenda kutumia hiki kibwagizo cha 'lol' bila kujua maana yake halisi.Mwingine utaona kabisa anamaanisha 'looh!' lkn yeye ataandika lol! Sasa leo naomba niwaeleweshe baadhi yetu wanaotumia hili neno vibaya ili wasilitumie hovyo hovyo.LOL ni abbreviation ya 'laughing out loud'
Hivyo basi kuanzia leo sitemegemei kuona mtu anachemka tena kuhusu neno hili.
PIa kwa faida ya wengine naomba niwawekee na vibwagizo vingine ambavyo vitawasaidia kwenye comment zenu.Wengi wetu wanavijua ila kuna wachache nadhani hawavijui.
LMAO ("laughing my ass off")
ROTFL ("roll(ing) on the floor laughing")
BWL ("bursting with laughter",

hahahaha kazi ipo!
WAL...nisaidie hii tafadhali!!