mim niko A-Town ila siwajui wana Jf waliopo hapa mjini maana wengi wao naona wanaishi Dar ndio nataka niwajue na tujuane.
Nawasilisha.
PJ uko wapi mgeni huyu apewe mapokezi.
Karibu sana Best!
Tupo full na hakika umetupata. Ikiwezekana welcome PM!
JF Arusha wing wengi tunajuana, tuna Umoja wetu ambao mara kwa mara tunakutana na kujadili mambo ya msingi! Nakushauri m-PM Pakajimmy au Mzee wa Rula atakupa utaratibu wa kukutanisha na members ambao wamo kwenye umoja huo!
Nilidhani huyu kijana yuko serious, kumbe ni mtu wa mizaha!...I don see him takin any suggested means to solve the situation!
Kama hujaelewa dogo hata picha huoni?sijakuelewa nani? Tatizo lipi? More elaboration is needed
Hayo hayajadiliwi huku hadharani, ndiyo maana LivepoolFC amekwambia ingia PM kwa mawasiliano ya details hizo!..right?nimekupata mkubwa wapi mkutaniko na ni vipi mawasiliano?
Kama vp na mimi ni pm na hizo niaje tutafutane,nitakua pande za bablon mamida flani ya jioni.yeah nimezipata .
sijakuelewa nani? Tatizo lipi? More elaboration is needed
JF Arusha wing wengi tunajuana, tuna Umoja wetu ambao mara kwa mara tunakutana na kujadili mambo ya msingi! Nakushauri m-PM Pakajimmy au Mzee wa Rula atakupa utaratibu wa kukutanisha na members ambao wamo kwenye umoja huo!
jf arusha wing wengi tunajuana, tuna umoja wetu ambao mara kwa mara tunakutana na kujadili mambo ya msingi! Nakushauri m-pm pakajimmy au mzee wa rula atakupa utaratibu wa kukutanisha na members ambao wamo kwenye umoja huo!
kuwajua kama ile ya kwenye biblia?yaani Adam akamjua mkewe Hawa...............!!!!!mim niko A-Town ila siwajui wana Jf waliopo hapa mjini maana wengi wao naona wanaishi Dar ndio nataka niwajue na tujuane.
Nawasilisha.
Wewe bila shaka ni mmojawapo wa lile genge la akina Malaria Sugu,.....hell you goHawa JF Members wa Arusha mkikutana mnaongelea mambo gani? Siasa za CDM?
Naona mmoja wenu amependekeza mkutane kwenye ofisi ya Mbunge......upuuzi mtupu!
tupo tunalisukuma kama kawa.
kwa maelezo zaidi fika ofisi ya mbunge wetu.