wana Jf A-Town nataka niwajue.

mim niko A-Town ila siwajui wana Jf waliopo hapa mjini maana wengi wao naona wanaishi Dar ndio nataka niwajue na tujuane.
Nawasilisha.

PJ uko wapi mgeni huyu apewe mapokezi.

Karibu sana Best!

Tupo full na hakika umetupata. Ikiwezekana welcome PM!

JF Arusha wing wengi tunajuana, tuna Umoja wetu ambao mara kwa mara tunakutana na kujadili mambo ya msingi! Nakushauri m-PM Pakajimmy au Mzee wa Rula atakupa utaratibu wa kukutanisha na members ambao wamo kwenye umoja huo!

Nilidhani huyu kijana yuko serious, kumbe ni mtu wa mizaha!...I don see him takin any suggested means to solve the situation!

sijakuelewa nani? Tatizo lipi? More elaboration is needed
Kama hujaelewa dogo hata picha huoni?
Kama uko makini na na unataka kujiunga na group ya Arusha, soma hizo Msg zote!...If u r serious, then its high time u became serious!
 
JF Arusha wing wengi tunajuana, tuna Umoja wetu ambao mara kwa mara tunakutana na kujadili mambo ya msingi! Nakushauri m-PM Pakajimmy au Mzee wa Rula atakupa utaratibu wa kukutanisha na members ambao wamo kwenye umoja huo!

why dont i know this?
 
Hawa JF Members wa Arusha mkikutana mnaongelea mambo gani? Siasa za CDM?
Naona mmoja wenu amependekeza mkutane kwenye ofisi ya Mbunge......upuuzi mtupu!
 
Mi kama kawaida nipo ila kesho ntaenada shambani kuvuna ile kitu ya Arusha siunajua tena Ujasiri-mali
 
jf arusha wing wengi tunajuana, tuna umoja wetu ambao mara kwa mara tunakutana na kujadili mambo ya msingi! Nakushauri m-pm pakajimmy au mzee wa rula atakupa utaratibu wa kukutanisha na members ambao wamo kwenye umoja huo!

salama mkuu...
 
mim niko A-Town ila siwajui wana Jf waliopo hapa mjini maana wengi wao naona wanaishi Dar ndio nataka niwajue na tujuane.
Nawasilisha.
kuwajua kama ile ya kwenye biblia?yaani Adam akamjua mkewe Hawa...............!!!!!
 
Hawa JF Members wa Arusha mkikutana mnaongelea mambo gani? Siasa za CDM?
Naona mmoja wenu amependekeza mkutane kwenye ofisi ya Mbunge......upuuzi mtupu!
Wewe bila shaka ni mmojawapo wa lile genge la akina Malaria Sugu,.....hell you go
 
Nakuja kukusaka we chaliara kumbe unalima hayo makitu na hic unatafuta supplier wa mzigo A-TOWN. But dats so risk kalime mchicha ndo unitafute.
 
Back
Top Bottom