Wana jamvini.

chimwaga

Member
Jul 12, 2011
19
1
Ndugu wa pendwa ya pita miaka miwili nime kuwa mfuasi wa hii site kwa kusoma post mbalimbali zenye mshiko kwa kweli mimi binafsi nime jifunza vita vingi sana na nime gundua ama kweli vijana wengi wa ki tanzania tuna jua kujenga hoja. Nikiwa kama mwana harakati na mpenda ma endeleo na kijana mwenye uchungu wa hii nchi yetu inapo elekea nime ona ni vema na mimi ni bora niji unge ili ni shirikiane na nyie ili tui kombea hii inchi. Asanteni sana na omba ushirikiano wenu.
 
Mawazo yenye kuleta maendeleo ndo tungeyapendelea zaidi ili kila mmoja humu aweze kuijifunza chochote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom