Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

hivi mnaomuuliza maswali magumu mnafikiri huyu dada ni mwanasiasa??mpeni nafasi aje atueleze anayojua,sasa mambo ya zanzibar mara unyanyasaji anayajulia wapi
 
Sasa chukuwa likizo twende tukafungue matawi Bundaaaaaaa! na tuweke mabalozi kila mtaaaa lakini si lazima Bunda we sema wapi unataka!

Mwanamke anaweza bila kuwezeshwa...
 
Kila jambo na wakati wake. Muda ulifika wa kujiunga. Watu wana maswali ambayo wangependa niyajibu, na niliona ni ushauri mzuri.
kasPERSKY ANT-CCM hebu mfundishe dada Esther Wasira jinsi ya ku-quote anapokuwa anamjibu mtu ili tujue jibu limekwenda kwa nani. itamsaidia hata yeye kutokurudia kujibu mtu mmoja zaidi ya mara moja. ushauri tu
 
Last edited by a moderator:
Kila jambo na wakati wake. Muda ulifika wa kujiunga. Watu wana maswali ambayo wangependa niyajibu, na niliona ni ushauri mzuri.

Kamanda, nataka kujua kabla ya kujiunga CHADEMA ulikuwa mwanachama wa chama gani? Pia mimi binafsi naona unafaa kuwa mbunge wa kuchaguliwa; je, ungependa kugombea jimbo gani?
 
Ester Mambo? una maoni gani kwa Watanzania bara wanaonyanyaswa kule Zanzibar, je Chadema itaweza kumpeleka japo balozi ili wapate kimbilio? ndio hope iliobaki CHADEMA OR NOTHING. lete mkakati wapate hope. asante dada

Kila tatizo unaloliona lina chanzo chake, kikubwa ni kushughulika na chanzo cha Tatizo na sio tatizo lenyewe;kufanya hivyo ni sawa na kulipalilia tatizo. Nikisema nina mkakati nitakuwa nadanganya, lakini naamini Uongozi wa juu wanajua hilo na wanashughulikia kwa level hiyo.
 
Ur warmly welcome.... But jua vizuri hili jukwaa lina wapinzani kibaoo sio wote watakufurahisha... Wakina Ritz wanakuja na rangi kijani.. so watch out...
 
Ni vema kumuweka Mzee Steve Wassira au ndugu yeyote wa Esther nje ya hii thread. Tafadhalini sana, tuachane na propaganda, tumsaidie Esther kufikia ndoto zake kupitia CDM.
Esther ameona Chadema kuwa ndio chombo mwafaka kutimiza ndoto zake kisiasa, sidhani kama amemfuata baba yake mzazi G. Wasira au babake mdogo S. Wasira maana siamini kama hao wazee ndio role model ya Esther kisiasa.
 
Esther, kwanza hingera sana mama, ile kitu uliyopiga Nkuruma juzi ilikuwa ni balaa, kwa kweli uliwatia nguvu vijana kuelekea katika ukombozi wa kweli wa nchi yetu, hivi baada ya pale hukupata vitisho vyovyote vya Magamba? maana ndiyo zao hao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom