Wana chit chat dhaifu

yaani Erotica, bora umetambua kuwa sijitambui...sema kwa nn sijitambui? Ndo udhaif wenyewe...sitambui na sijajitambua wala kutambua kama Elizabeth Dominic naye anatambua hivyo...lol

teh teh teh. Kaizer umenichanganya na kunifanya nishindwe kutambua kama

nilikuwa na say ya kusema hujitambui kwa Elizabeth Dominic ambae apparently

anatambua utambuzi wako kama ni wakujitambua ama kutotambua. :pray: :pray: :wink2:
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh. Kaizer umenichanganya na kunifanya nishindwe kutambua kama

nilikuwa na say ya kusema hujitambui kwa Elizabeth Dominic ambae apparently

anatambua utambuzi wako kama ni wakujitambua ama kutotambua. :pray: :pray: :wink2:

Thank you...sijui nikushukuruje Erotica?:pray:

kipanaya_23_-_04_-_2012_20120424_1214774678.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom