Wana CCM Wanaunga UKUTA

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,110
2,736
Katie hali ya kustaajabisha, nimeongea na Makada wengi wa CCM wenye nyadhifa za chini na za juu ndani ya chama chetu, lakini cha kustaajabisha ni kwamba, wote, katika nyakati tofauti, wameonyesha waziwazi wanakiunga mkono hiki kitu kinachoitwa UKUTA.

Nadhani huu ni usaliti wa hali ya juu ambacho chama kisikivumilie. Wengine wameenda mbali zaidi kuwahamaisha watu kuandamana. Mmoja ni kiongozi wa kitaifa, anayeogonza jumuiya kubwa na swahiba karibu wa mkulu

Namsihi mwenyekiti wet wa Chama apitishe rungu lake ili hawa wasaliti watimuliwe ndani ya chama
 
Kula virungu vitano basi kwa niaba!

Huo ndio ukweli , kwetu KYELA maandalizi ya UKUTA yanafanywa na wanaccm , tena kwenye ofisi zao .
 
Back
Top Bottom