Samahani kwa ku-qualify kauli yako kuhusu zahanati/hospitali za Binafsi nyingi kwanza majengo yake hayakujengwa kwa minaji ya kuwa vituo vya afya, hivyo hilo ni tatizo la kwanza, pili kutokana na uhaba wa mtaji wengi wao vifaa vyao sio standard or vye ubora unaotakikana , mfano wengi X-ray machine zao ni zile zilizokwisha tumika hivyo uwezo wake wa kutambua tatizo ni mdogo, vifaa vya kuchemshia sindano na nk ni vya kiwango hicho hicho cha chini , wauguzi walio ajiriwa kwenye dispensary za binafsi wengi ni wa kiwango cha chini nk nk.nilichojaribu kusema ni kuwa
watu wachukulie kuwa afya zao ni muhimu
kuliko kununua khanga au hereni za dhahabu...
zipo dispensary nyingi za binafsi za bei nafuu.....
sio lazima kila mtu akasuburi huduma
ya bure mwananyamala au amana.
mimi binafsi nawajua wamama kadhaa ambao
wana uwezoa kwenda kwenye dispensary
za binafsi za bei nafuu,but wanaenda
hospitali za serikali kwa kila tatizo lao.
wapo kweli masikini wasio na uwezo
but sio wote,wengine ni mazoea ya
huduma za dezo.
Kuna watu wanaenda kwenye Hospitali za Binafsi kwenye Dr Bingwa/Mzuri lakini unakuta huduma nyingine ni tatizo.