Nakushukuru sana Freeland kwa kuifukua hii thread. Najua wakati huo tayari nilikuwa mwanachama wa JF lakini nashangaa kwa nini sikuweza sikuipitia hii thread. Hata hivyo nashukuru sana tena sana kwa kuniwezesha kumfahamu The Boss ni mtu wa namna gani, duh! Kweli hujafa hujaumbika...michango yake humu imeweza kunisahaulisha hata mada yenyewe ilikuwa inahusu nini, kweli hii ni Tanzania.hii ni tanzania
Ingawa tumefika mwaka 2015 na Kikwete hakuweza kuondoka madarakani, sasa kuna matumaini, CCM inaweza ikaondoka.Cry Tanzania. Those trained to help the country are now in the forefront to vandalize the little revenue and savings we have.
Wana CCM amkeni, JK na watu wake wanaimaliza nchi.
- The president and his cabinet, are in perpetual trips abroad. Flying first/business class, staying in the lavish 4/5 star hotels for weeks, acumulating for themselves thousands of per diems, all paid by the TZ coffers. Shameless?? With the availability of fast speed internet in Tanzania and embassies all over the world, can't these people stay at home and carry out their duties from their offices and save the country's resources?
- The JK government is full of luxurious vehicles which are mainly used in private business. Why not have a controlled Car Pool that is shared by everyone whenever needed including the honorable ministers?
- Those who are paid super salaries by the same government that can not pay the teachers, are also remunerated heavily with posh cars, houses, maids e.t.c.? Why? .......Did they compete for these jobs?
- If these positions needs to be superbly remunerated in order to get and keep the best and the brightest, why then not advertise the job so that the best can compete and work responsibly?
Ili tuendelee, sasa tunahitaji vitu vitatu;
- JK aondoke madarakani ASAP
- JK aondoke madarakani ASAP
- JK aondoke madarakani ASAP
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
Hawa kina mama wengi wanapenda ccm sjui tatoz ni nn?
Serikali ya CCM chini ya Rais Kikwete ambaye anatarajiwa kuwa mgombea wa CCM mwaka huu imehalalisha na kukubali matumizi ya karibu shilingi bilioni 3 kujenga upya nyumba mbili kwa ajili ya maisha ya kifahari ya Gavana wa Benki kuu na manaibu wake. Wamefanya hivyo kwa sababu mikataba ya hawa watumishi inawataka wapatiwe vitu hivyo vinginevyo wangegoma kufanya kazi BoT. Mastahili ya hayo yanazidi yale ya Magavana wa Benki kuu za Uingereza na Marekani!
Hizi ni picha zilizochukuliwa katika wodi ya kina mama waliojifungua wakiwa wanapumzika pale Hospitali ya Temeke. Ni hali ndiyo ilimfanya mwanamapambo Naomi Campbell..
Halafu utackia CCM mbele kwa mbele, ptuu
Hao wakina mama wanafiki wakubwa......
Tatizo lao ni elimu na kujitambua kuliko umasikini....
Mbona kwa waganga wa kienyeji wananunua mbuzi na kuku wanapeleka???
Au ni imani kuwa hospitali ni bure na ni kazi ya serikali.....
Bottom line ni kuwa sio wote wanaoenda hospitali za serikali
ni maskini kupita kiasi......
Ni mazoea tu.........
Halafu hao akina mama..
Hizo mimba walizipataje????
Hao wanaume waliowapa hizo mimba
hawana kazi kabisa??????
Walihongwa nini kabla ya kufungua miguu
yao kwa hiyari????
Mbona hizo khanga wanazovaa ni mpya mpya
na bei ya khanga moja sasa ni sh 5000/??????
Serikali ina mambo mengi ya kulaumiwa but sio
hao ya akina mama wa mjini......
Nitailaumu serikali kwa huduma za afya vijijini.
But hoa wa mwananyamala na amana na temeke.
Hell no.
Kwani lazima kuishi mjini na kuzaa kama uwezo huna???????
Ingawa tumefika mwaka 2015 na Kikwete hakuweza kuondoka madarakani, sasa kuna matumaini, CCM inaweza ikaondoka.