Wana Arumeru …jukumu ni lenu kuelekea 1st April (Jumapili)

omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,325
2,498
Heshima mbele wanajamvi.

Leo ni jumanne na tumebakiwa na kama siku nne kuelekea katika tukio la muhimu sana katika historia ya demokrasia ya nchi hii masikini ya Tz.

Wanye jukumu kubwa kabisa katika ushiriki wa tukio hilo la kihistoria sio sisi tulioko huku mbali bali wana Arumeru Mashariki!

Maneno mengi hayasaidii bali nawaomba watakaoweza kuona hizi attachments watumie muda kuzitafakari kwa umakini wote then waamue accordingly.Kikubwa zaidi ni msemo ule ule "changanya na zako"! (Moja ni kwa hisani ya Masoud Kipanya na nyingine ni dada wa Senegal hapo juzi baada ya kupiga kura)


Yangu ni hayo, nawasilisha
 

Attachments

  • kp.jpg
    kp.jpg
    99 KB · Views: 115
  • voter.jpg
    voter.jpg
    27.8 KB · Views: 60
ama kweli, mzalendo namba moja KP keshawaonyesha msipoweza kuona, na ole wenu mlete hivyo visingizio maana hatutaki kusikia watu wkilalamika juu ya matatizo yale yale!
 
Back
Top Bottom