Maelfu ya raia wa Misri wameandamana kupinga hukumu ya aliyekua rais wa misri bwana Hosni Mubaraka,raia hao wamesema wanapinga hukumu hiyo kwa kudai kuwa ni ndogo,wangependa kusikia anahukumiwa kunyongwa hadi kufa,maana aliua waandamanaji wengi sana TAHRIRI ,iweje leo ahukumiwe kifungo cha maisha?????
*hii ni changamoto nyingine tena ya utawala wa kijeshi nchini misri
*hii ni changamoto nyingine tena ya utawala wa kijeshi nchini misri