ZeMangi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 436
- 33
Wakazi wa eneo la Katoro Geita hatuna amani kabisa baada ya tukio la jana saa 3 asbuhi tuliposhuhudia mwili wa binadamu mwanaume ukiwa umechunwa ngozi na kutelekezwa katka uwanja mmoja ambao unaandaliwa kwa ajili ya kujengwa stendi mpya,kwa kweli inatisha hasa kwa walioshuhudia tukio hilo la kinyama ambalo limefanywa na binadamu,kweli binadamu tunatisha..MUNGU naye nahisi katugeuzia kisogo.