Wamarekani wamkumbuka Magufuli alivyowalinda Watu wake wakati wa COVID 19, ni Ohio kwenye mkutano wa Trump!

Mtu mmoja kwenye mkutano wa Trump jimboni Ohio amesikika akisema " Zamu hii uwe kama yule Shujaa wa Africa aliyewalinda Watu wake wakati wa COVID 19"

Wengi wametafsiri Mzungu huyo alimaanisha Mwanasayansi Shujaa Magufuli

Nawatakieni Dominica Njema 😄

Wee Joni una tatizo
 
Magufuli hakulinda watu. Magufuli alisababisha janga la vifo ambavyo havikutangazwa kwa watu wake na mwisho yeye mwenyewe akafariki.

Usitutoe kwenye hoja kwa uzuzu wako!
Ndg zako waliofariki walikuwa na matatizo mengine au afya zao zilikuwa goigoi kwani walikatazwa wasijifungie ndani? Mbona wewe hukufa!

Au ulitaka magufuli awalinde ndg zako tu. Huna akili zaidi ya chuki na roho mbaya.

Magufuli kwenye corona alikuwa sahihi kwa 100% aliokoa maisha ya wengi zaidi hata kama hao ndugu zako wachache walikufa sio dhambi
 
Ndugu za wengi walifariki na siyo ndugu zangu tu. Wenye ubongo wa ng'ombe kama wewe ni mpaka jambo likupate mwenyewe ndiyo unakubali lipo. Na mbaya zaidi aliidharau korona na ikawampata yeye na kumuua. Inasikitisha.
 
Unaakili ndogo sana

Ulitaka magufuli afanye nini awafungie ndani? Ili wasife

Toa hoja zenye mashiko na sio chuki binafsi na magufuli.. mbuzi wa kike wewe
 
Nina list ndefu tu waliofariki wakati ule Magufuli alipokuwa amaetoa katazo. Nina ndugu marafiki na watu ninaowafahamu. Nadhani kuwa wewe unaweza kuwa hukuwa na ndugu au kufahamu mtu aliyefariki ndiyo maana unabisha. Sishangai kwa sababu watanzania wengi tuna akili za panya buku, i.e. jambo mpaka likupate ndiyo uamini...
Kwani ulilazimishwa kutembea au kutoka?..ungekaa ndani na familia yako tu.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Belarus Iko ulaya,ambako COVID ilianza kusumbua,na rais wao hakufunga nchi,watu waliendelea na shughuli zao na hata ligi ya kandanda,so magu hakuwa wa kwanza na WA pekee kuruhusu shughuli ziendelee,hapo COVID ilimnyakua yeye na inner circle yake
Una uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja. Nchi yetu inahitaji watu kama wewe. Naomba usikilizwe!
 
Haya ulioyondika ndiyo msimamo wa watanzania wengi na wala halinishangazi sana kwa sababu ni matokeo ya elimu duni. Ni mawazo ya kimaskini ya kudhani unalogwa kumbe ni ujinga wako. Miaka ya Nyerere alisema moja ya maadui zetu wakubwa ni ujinga. Naona ndiyo unazidi kuongezeka. Halafu ulivyo mjinga unadhani Mungu anaisimamia tu Tanzania yenye kila aina ya wezi, mafisadi na waasherati na kuyatupa mataifa yenye raia wanaotenda mema kuliko sisi.
Elimu sio duni ilia ubongo na akili yako ndio viko duni kupokea elimu.

Mungu ili akusaidue zaidi unapaswa umuombe. Magufuli akimkiri Mungu hadharani na kuwaongoza watanzania wenye mapenzi mena kumuomba Mungu atuepushe na janga la covid na Nungu akijibu kwa kuilinda Tanzania..
Ulaya kila siku walikuwa wanatoa takwimu za waliokufa kwa covid na zilikuwa zinatisha Tanzania huku mitaani hatukuwa na nazishi ya kutisha ya watu ila yale ya kawaida.
 
Aliwaongoza kujifukiza na kwenda kuchukuwa ''kombe'' Madagascar kwa ndege. Mpaka pale Muhimbili alijenga mtambo wa kujifukiza. Alitumia utapeli kwa sababu alijua Covod inaua watu waliokuwa kwenye risk group na baadhi ya wazee. Alijua akisema malaria au kipindupindu tumtegemee Mungu watu wangegundua utapeli wake.
 
Mungu ametupa akili na anataka tutumie akiki kutatua changamoto zetu lakini bila kuacha kumtegemea yeye.

Kujifukiza ni moja ya njia za matibabu inayotumiwa tangu zamani hadi sasa inaendelea kutumiwa. Njia mojawapo ya kupambana na Covid ilikuwa kujifukiza na imesaidia wengi hivyo Magufuli hakukosea kuhimiza hiyo njia, kwanza hadi sasa hakuna dawa rasmi ya kutibu covid ndio maana hata hizo chanjo waliochanja wanarudia tena kuchanja ( boost) kila baada ya muda fulani.
Kunapotokea janga hakuna anayeweza kuzuia kwa asilimia 100 ila busara inataka kutumia best methid ili kupunguza au kuzuia madhara kwa kiasi kikubwa zaidi ili athari iwe ndogo sana.
 
Baada ya kifo cha JPM hiyo COVID-19 ilienda wapi?

watu milioni tisa mliochanja ndio waliondoa COVID-19?

Kama hakutangaza kwanini sasa hivi wale waliochanjwa COVID-19 ndio wanaongoza kufa na hamtangazi chochote?

Uwe unaficha ujinga huelewi mantiki ya uvio wa COVID-19 ulienga kitu gani kwa sababu ya umasikini wa akili!!!!
Jamaa anachangia kishabiki hasa utadhani sisi wengine tulikua hatupo kwenye jamii kwa kile kipindi cha ruhusa ya JPM kuendelea kufanya shughuri kama kawaida mim nilikua nafanya shughuri ambayo ilikua inanikutanisha na watu wengi Kwa siku lakini nilipita vizuri bila shida yoyote na hata wale watu walionizunguka kwenye jamii sikuona hayo madhara labda na jamii ilificha pia kama anavyosema kuna vifo vilitokea na kufichwa.
 
Magufuli hakulinda watu. Magufuli alisababisha janga la vifo ambavyo havikutangazwa kwa watu wake na mwisho yeye mwenyewe akafariki.
Kafariki kwa sababu ya yule mchomoa betri wenu na ndo anaanza kuwehuka,,,,Magufuli mtakatifu kalipitisha Taifa kwenye wakati wa muhimu sana, sasa hivi tungekua tunahangaika na ma side effect ya ma chanjo ya mabeberu,,hilo ndo lilikua jukumu lake lililomuweka kwenye kile kiti,,,,,mengine Aluta Continua
 
Back
Top Bottom