Kinshasa inaizidi dar population na ukubwa tu. Kwa maendeleo dar iko miles 100 mbele ya Kinshasa. Hapa Nazungumzia miundombinu kama barabara , huduma za afya , umeme , maji , usalama nkKinshasa inaizidi DSM watu mara 3 hivyo hata nyumba na biashara lazima zitakuwepo nyingi.
Kingine Kishansa inaizidi Dar Eneo kwa mbali sana
Hata average income per person naona dar imeicha Kinshasa mbali sana angalia hata makazi ya watu japo dar still ni mbovu mbovu lakini Kinshasa ni mbovu haswa.
Usizuzuke na ile barabara pana na skyscrapers za kuhesabu, zunguka mitaani ujionee
Inshort Kinshasa ni moja ya miji inayonifanya kamwe nisijutie kuwa mtanzania