Wamama watu wazima mtatumaliza

kw uandishi wako ud ucngeweza hata kusoma heritage
## ud tunasoma cc wenye akili timamu
muhimbili hawatoi gràduàte mbovu km ww
utakuwa umesoma katavi huko
 
eti pharmacist UDSM, mmh!!

angekuwa pharmacists lazma jana
ange react zaidi nilivyomwambia kuwa yeye ana autism..maskini pengine hata hakuelewa ila kakomalia kusema yeye pharmasist tena mwenye uzoefu wa miaka mitatu...

i decided to stop quoting him, even though
aliendelea kunitaja sana.
nilichogundua pengine hata ana Alzeima na bado hajazeeka.
 
Wepson, ongera sana kwakusoma hyo fan, ntapaswa niongee na wewe kwa kina coz nyie ni watu mhimu dunian.
 
UDSM hakuna coz ya pharmacy bana, kwani kuna sehem amesema yeye ni mwana chuo wa udsm???

hapana mkuu tena kwani kwenye bandiko lake kuna sehemu ametaja coarse?

na hata kwa haraka haraka kwenye bandiko lake hakuna alikosema kuwa alikuwa anapita tu UDSM..
 
Uandishi huu wa herufi kubwa mwanzo mwisho ni uthibitisho kwamba bado uko shule tena za kata
 
Sai%21%20Sugar%20mummy%20tinz%20%EE%9D%97%20%20.jpg

ha ha ha jimama la watu limetulia kwa dogo dogo
 
ndio maana unapotoa post unatakiwa ujipange vizuri ili watu wakuelewe vizuri mkuu wepson
Jamani sina hakika huyu kijana kuuliza au kuomba ushauriamekosea nini? Alichotakiwa kama watuwazima wamwelimishe jinsi ya kukabilianana hali hiyoiliyomkuta. Badala yake watu wanalazimisha mambo Fulani kwa mfanotutumie namba yake. Wakati yeye anashangaa na kutakwa na mtu mzima kitu ambachoanakiona strange anapata mshangao mwiningne anatakiwa agawe namba ya mtu bilahata ridhaa yake.
Mi nakubaliana na ushauri uliotolewa kuwa amueleze kuwahamuhitaji kutokana na umri wake na principal yake ni kuwa na msichana umrisawa na wake au mdogo zaidi >18 of course na asimfuatilie tena period!Afanye jitihada kujichanganya sehemu mbalimbali ili aweze kupata msichanaatakaekuwa radhi nae.

 
Jamani sina hakika huyu kijana kuuliza au kuomba ushauriamekosea nini? Alichotakiwa kamawatuwazima wamwelimishejinsi ya kukabilianana hali hiyoiliyomkuta. Badala yake watu wanalazimisha mambo Fulani kwa mfanotutumie namba yake. Wakati yeye anashangaa na kutakwa na mtu mzima kitu ambachoanakiona strange anapata mshangao mwiningne anatakiwa agawe namba ya mtu bilahata ridhaa yake.
Mi nakubaliana na ushauri uliotolewa kuwa amueleze kuwahamuhitaji kutokana na umri wake na principal yake ni kuwa na msichana umrisawa na wake au mdogo zaidi >18 of course na asimfuatilie tena period!Afanye jitihada kujichanganya sehemu mbalimbali ili aweze kupata msichanaatakaekuwa radhi nae.
Asante mama Jf lina mitoto kutoka face book siku hizi haina mawazo yoyote!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom