Wamachame na wakibosho

Ugomvi wa wa kibosho na wa machame ulikuwepo lakini sababu sio hii uliosema mkuu.Ishu ilianzia pale wamachame walipowashinfa wakibosho kwenye vita na ikaamriwa wakibosho wawe wanapeleka vitu kama mazao,mifugo na vitu vingine kwa wamachame na ili kuhakikisha hilo Sina akapelekwa kuishi machame kuhakikisha wakibosho wanatimiza masharti,kumbuka Sina alikuwa mtoto wa mangi wa kibosho na Sina alilipata baada ya kufika machame baada ya kuwa anapewa sana mifupa,kama wewe ni mchagga unajua maana ya kusina.
Tuendelee,baada ya Baba wa Sina kufariki Sina ndie alitakiwa kuwa Mangi so ikabidi Wamachame wamuachie akarudi Kibosho.Kutokana treatment aliyopata akiwa Machame akapanga kurudisha kisasi,alijipanga kwa muda mrefu alipokuwa tayari akawaita Wamachame kwenda kubeba vitu vyao Kibosho,kabla ya hapo utaratibu Wakibosho walikuwa wanapeleka wao.Wanaume wa kimachame pamoja na vijana wakaenda kibosho ,walipofika wakaambiwa kabla ya kubeba tumewaandalia sherehe kwa hiyo tunywe tusherehekee mwaka huu kibosho tumepata vitu vingi(mifugo na mazao)wakati huo jeshi la wakibosho likaenda kuwasubiri kwenye huo mto uliosema.Wakati wa kuondoka wale wamachame waliuwawa wote na huo mto ulitiririsha damu sio maji.Kumbuka umachameni waliondoka wanaume wote wenye nguvu na vijana wakabaki akina mama na watoto ambalo liliibua swala la akina mama wa kimachame kuwa na nguvu kuliko akina baba,mengine ni kweli la kutojenga nyumba kuelekea kibosho pamoja na kuooleana lakini yalishaisha.Mimi ni mkibosho
Ndio kweli ulikuwepo huo ugomvi na hata sasa na issue yenyewe ilikuwa zamani kulikuwepo na Mangi wa Kibosho na wa wamachame na walikuwa marafiki sana mpaka wakawa wanaalikana kwenye sherehe mpaka kusaidiana kwenye vita.Siku moja Mangi wa Kibosho akaona wivu kwani machame kulikuwa na vijana wakiume handsome na wenye nguvu.Akkaandaa sherehe akawaalika wakaenda mpaka kibosho(note kibosho na machame imetenganishwa na mto)so wakaenda akawauwa wote.Tangu wakati huo wamachame wakaweka viapo kwa vitu vifuatavyo:-
  • Hatutakubali wasichana wetu kuolewa na mkibosho
  • Nyumba zote mlango wa kuingilia usiangalie upande wa magharibi kwani ndiko upande wa wakibosho
Nitaendelea...........................
 
Hivi December itafika lini? Nnayamisi sana Machalari na kuria mbege asee. Hebu Preta, Blaki Womani, Bigirita, sweetlady, Kimey, Kaizer, KARIA, @RR, @LD, Filipo, Yummy, Mentor na shemeji Teamo mkuje pande hii mnipe mwongozo. Chaaa!

heri ww unaakili! hawa watu wanatuyeyusha na matopiki ya kizamani na ambayo hayana manufaa kwetu kwa sasa wala kwa kizazi kijacho! kama utani x-mass nyingine tena! Sijui ntapanda MERIDIAN, DAR EXPRESS, SAI BABA,AU LILE LA MZEE NANI..........au niondoke na lile PIPA la Mzee Ngaleku nn?
 
Ndio kweli ulikuwepo huo ugomvi na hata sasa na issue yenyewe ilikuwa zamani kulikuwepo na Mangi wa Kibosho na wa wamachame na walikuwa marafiki sana mpaka wakawa wanaalikana kwenye sherehe mpaka kusaidiana kwenye vita.Siku moja Mangi wa Kibosho akaona wivu kwani machame kulikuwa na vijana wakiume handsome na wenye nguvu.Akkaandaa sherehe akawaalika wakaenda mpaka kibosho(note kibosho na machame imetenganishwa na mto)so wakaenda akawauwa wote.Tangu wakati huo wamachame wakaweka viapo kwa vitu vifuatavyo:-
  • Hatutakubali wasichana wetu kuolewa na mkibosho
  • Nyumba zote mlango wa kuingilia usiangalie upande wa magharibi kwani ndiko upande wa wakibosho
Nitaendelea...........................

Wewe hujui! Mangi Sina aliwaasi sio tu wanaume aw Machame Bali pia wa Uru, ndio maana hata Uru hawajengi kuelekea Kibosho wala kuoa huko!

Ila na nini, haya ya kale ya nini sasa?
 
Mbavu zangu...watu mna majibuuuu!

Vitu vya before Christ tumekariri kwa kuwa aliandika mzungu. Lol. Ukiuliza mtemi/ chief wa kabila lenu nani mwanafunzi anatoa macho...ukimuuliza rais wa kwanza wa US nani anapata tick.

Ya 18 mbona cha mtoto kuna mambo ya bc yanaongelewa mpaka leo mashuleni kwamba baba yako zamani b.c alikuwa ngedere.,na ukajibu vizuri ukapewa tick.
 
Hukunielewa,

Mkoa wa Iringa sasa una university 2,
moja ina Branch huko Moshi.
Sijaona Branch ya University toka Machame mkoa wowote ule.

Sasa MDAU, kama serkal nayo itajenga ''Li-UDOM'' Moshi, Dodoma atajenga nani? Tusianze kubishana ujinga. Tuwaache wachaga na mishe zao kweli private wanawekeza sana uko uchagani kuliko ujiji au bahi. Kikubwa ni elimu sio Uprivate au Ugovrnment... Simpo.
 
Malemq unataka huruma

ww vp? huruma kwetu ni hospitali kubwa ya wilaya na pia chuo cha wauguzi kinachomilikiwa na kanisa katoliki.Isitoshe mm naomba ushauri tu! nikose usafiri wa kurudi kwetu X-MASS huku porini nimekuja kutafuta nini? huna nauli ya kwenda kwenu nn?
 
Mkuu umesahau: Mushi, Sawe,Lyatuu, Kweka, Muro, na Mboro!

Wapo pia Ngowi, Salema, Ushaki, Lyakurwa, Mlay, Lamwai, Mremi, Mrina, Ulomi, Ngooh, Ushaki, Urio, Kombe. Kumbuka majina haya ni kwa WANAUME ikiwa ni MWANAMKE unaongeza Ma mwanzoni mwa jina mfano: Shirima=Mashirima, Swai=Maswai, Ngowi=Mangowi, Tairo=Matairo, Massawe=Mamassawe, Ngooh=Mangooh, Kavishe=Makavishe, Mremi=Mamremi n.k
 
Hukunielewa,

Mkoa wa Iringa sasa una university 2,
moja ina Branch huko Moshi.
Sijaona Branch ya University toka Machame mkoa wowote ule.
umeeleweka sana tu, ila wewe ni mwongo Iringa haina chuo kikuu kamili hata kimoja kama unavyojaribu kuwadanganya wana jf. kuna vyuo vikuu vishiriki vitatu tu! soma hapa chini walau upate maujanja ya kudanganya wajinga wenzio na si jf.

Categorization
Universities
S/N
Name of Institution
Location
Ownership
Status
1
University of Dar es Salaam
Dar es Salaam, Mlimani Campus
Public
Accredited and Chartered
2
Sokoine University of Agriculture
Morogoro
Public
Accredited and Chartered
3
Muhimbili University of Health and Allied Sciences
Upanga, Dar es Salaam
Public
Accredited and Chartered
4
Ardhi University
Dar es Salaam, Survey Area
Public
Accredited and Chartered
5
Open University of Tanzania
Kinondoni, Dar es Salaam (with branches in all regions in the country)
Public
Accredited and Chattered
6
Hubert Kairuki Memorial University
Mikocheni, Dar es Salaam
Private
Accredited
7
Tumaini University
Moshi, Municipality
Private
Accredited
8
Saint Augustine University of Tanzania
Nyegezi, Mwanza
Private
Accredited
9
University of Dodoma
Dodoma
Public
Full Registration and Chartered
10
Saint John's University of Tanzania
Dodoma
Private
Full Registration
11
Mzumbe University
Mzumbe, Morogoro
Public
Full Registration and Chartered
12
State University of Zanzibar
Mnazi Mmoja, Zanzibar
Public
Full Registration
13
International Medical and Technological University
Mbezi Beach, Dar es Salaam
Private
Full Registration
14
Zanzibar University
Tunguu, Zanzibar
Public
Full Registration
15
Mount Meru University
Ngaramtoni, Arusha
Private
Full Registration
16
University of Arusha
Usa River, Arusha
Private
Full Registration
17
Muslim University of Morogoro
Msamvu, Morogoro
Private
Full Registration
18
Teofilo Kisanji University
Mwanjelwa, Mbeya
Private
Full Registration

University Colleges and institutes: [1]
1. Iringa University College (IUCO). Kihesa, Iringa (Private)
2. Sebastian Kolowa University College (SEKUCO). Lushoto, Tanga (Private)
3. University College of Education Zanzibar (UCEZ), Chukwani, Zanzibar (Private)
4. Kilimanjaro Christian Medical College (KCMC), Moshi (Private)
5. Makumira University College (MUCO), Usa River, Arusha (Private)
6. Weill Bugando University College of Health Sciences (WBUCHS), Bugando, Mwanza (Private)
7. Moshi University College of Cooperatives and Business Studies (MUCCoBS) Moshi Municipality (Public)
8. Tumaini University - Dar es salaam College (TUDARCO) Kinondoni, Dar es Salaam (Private)
9. Ruaha University College (RUCO), Iringa (Private)
10. Mwenge University College of Education, (MWUCE), Moshi (Private)
11. Aga Khan University College- Tanzania Institute of Higher Education (AKU-TIHE) Upanga, Dar es Salaam (Private)
12. Stefano Moshi Memorial University College (SMMCO) Moshi, Kilimanjaro (Private)

13. Dar es Salaam University College of Education (DUCE) Chang'ombe, Dar es Salaam (Public)

14. Mkwawa University College of Education (MUCE) Iringa (Public)

15. Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST), Tengeru Arusha. (Public
 
Ugomvi wa wa kibosho na wa machame ulikuwepo lakini sababu sio hii uliosema mkuu.Ishu ilianzia pale wamachame walipowashinfa wakibosho kwenye vita na ikaamriwa wakibosho wawe wanapeleka vitu kama mazao,mifugo na vitu vingine kwa wamachame na ili kuhakikisha hilo Sina akapelekwa kuishi machame kuhakikisha wakibosho wanatimiza masharti,kumbuka Sina alikuwa mtoto wa mangi wa kibosho na Sina alilipata baada ya kufika machame baada ya kuwa anapewa sana mifupa,kama wewe ni mchagga unajua maana ya kusina.
Tuendelee,baada ya Baba wa Sina kufariki Sina ndie alitakiwa kuwa Mangi so ikabidi Wamachame wamuachie akarudi Kibosho.Kutokana treatment aliyopata akiwa Machame akapanga kurudisha kisasi,alijipanga kwa muda mrefu alipokuwa tayari akawaita Wamachame kwenda kubeba vitu vyao Kibosho,kabla ya hapo utaratibu Wakibosho walikuwa wanapeleka wao.Wanaume wa kimachame pamoja na vijana wakaenda kibosho ,walipofika wakaambiwa kabla ya kubeba tumewaandalia sherehe kwa hiyo tunywe tusherehekee mwaka huu kibosho tumepata vitu vingi(mifugo na mazao)wakati huo jeshi la wakibosho likaenda kuwasubiri kwenye huo mto uliosema.Wakati wa kuondoka wale wamachame waliuwawa wote na huo mto ulitiririsha damu sio maji.Kumbuka umachameni waliondoka wanaume wote wenye nguvu na vijana wakabaki akina mama na watoto ambalo liliibua swala la akina mama wa kimachame kuwa na nguvu kuliko akina baba,mengine ni kweli la kutojenga nyumba kuelekea kibosho pamoja na kuooleana lakini yalishaisha.Mimi ni mkibosho

Umeeleza sawia kaka,ila kuna thread moja ivi nilishawahi kuisoma humu inaelezea iyo stori kwa kina sana,mwenye uwezo wa kuiattach pls atusaidie kwa hilo.
 
Ndio kweli ulikuwepo huo ugomvi na hata sasa na issue yenyewe ilikuwa zamani kulikuwepo na Mangi wa Kibosho na wa wamachame na walikuwa marafiki sana mpaka wakawa wanaalikana kwenye sherehe mpaka kusaidiana kwenye vita.Siku moja Mangi wa Kibosho akaona wivu kwani machame kulikuwa na vijana wakiume handsome na wenye nguvu.Akkaandaa sherehe akawaalika wakaenda mpaka kibosho(note kibosho na machame imetenganishwa na mto)so wakaenda akawauwa wote.Tangu wakati huo wamachame wakaweka viapo kwa vitu vifuatavyo:-
  • Hatutakubali wasichana wetu kuolewa na mkibosho
  • Nyumba zote mlango wa kuingilia usiangalie upande wa magharibi kwani ndiko upande wa wakibosho
Nitaendelea...........................
Acha uongo wa kukaririshwa wa kizamani.
 
Back
Top Bottom