Waliosukuma Gari ya Jairo hawana kazi ya kufanya?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Niliwaona wafanyakazi wa Wizara ya Nishati Madini wakisukuma Gari ya Jairo na kuimba kama wako kwenye harusi wakati ni muda wa kazi.Kwanini wasisimamishwe au kukatwa mishahara yao kwa kugeuza sehemu ya kazi kama Holi la burudani.Wachukuliwe hatua ili kuondoa unafiki unaozidi kujengeka kwa Watanzania?Mawazo yenu tafadhali wanajamvi.
 
Back
Top Bottom