Waliosema shamba la bibi hawajakosea

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,727
Nakumbuka nilikutana na mkenya katika pilikapilika zangu kwenye maongezi aliniambia vitu vya kushangaza sana kama "Nchi yetu ni rahisi sana kutoboa bila kutumia pesa yako".

sasa nikarudi nyuma kufikilia jinsi wawekezaji wanavokuja hata pesa zao hawatumii wanakuja wengine kama wakulima na kukopea ardhi hii.

Nikakumbuka shirika la reli kipindi cha nyuma walivo wale wahindi walivokuja kama wawekezaji na mwisho kukopea.

Nikakumbuka Escrow wawekezaji walivokopea. Nikakumbuka pale mlimani city jamaa alituweza kweli. Hii nchi muwekezaji anaogopwa hata kama hana pesa watamkubalia.

Nimejisikia vibaya, tule urefu wa kamba yetu.
 
Unashangaa hio wakati vitoto vimetolewa chini vipo tz kukusanya mia mbili za korokoro na mchezo wenyewe unakula zaidi kuliko kula ww
 
Ukija na begi lako mradi mgeni, hasa uwe mhindi au mzungu huna pesa ila unajiamini kama muwekezaji, vigogo wanakupeleka kuwekeza kwa gharama ya umma mradi uwape chao.
 
Nakumbuka nilikutana na mkenya katika pilikapilika zangu kwenye maongezi aliniambia vitu vya kushangaza sana kama "Nchi yetu ni rahisi sana kutoboa bila kutumia pesa yako"...
T.I.c ni wapuuzi
 
Nakumbuka nilikutana na mkenya katika pilikapilika zangu kwenye maongezi aliniambia vitu vya kushangaza sana kama "Nchi yetu ni rahisi sana kutoboa bila kutumia pesa yako".

sasa nikarudi nyuma kufikilia jinsi wawekezaji wanavokuja hata pesa zao hawatumii wanakuja wengine kama wakulima na kukopea ardhi hii.

Nikakumbuka shirika la reli kipindi cha nyuma walivo wale wahindi walivokuja kama wawekezaji na mwisho kukopea.

Nikakumbuka Escrow wawekezaji walivokopea.

Nikakumbuka pale mlimani city jamaa alituweza kweli.

Hii nchi muwekezaji anaogopwa hata kama hana pesa watamkubalia.

Nimejisikia vibaya

tule urefu wa kamba yetu
 
Mo kajifanya mwekezaji kapewa mashamba ya mkonge tanga kakopea sasa anajiita kijana tajiri Africa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom