Walionunuliwa Magari Mekundu na Amatus Liyumba

Na bado akitinga tu mtaani anao na anawalamba kama kawa! Ingekuwa mitinange inaisha kama pipi basi wa liyumba ungebaki kijiti
 
Je dada zangu walionunuliwa RAV 4 nyekundu ni WANGAPI HUENDA KUSIKILIZA MASHITAKA YA MR LIYUMBA SIKU HIZO AMBAZO HUPANDISHWA KIZIMBANI ?
Mimi nadhani hata kama wasipokwenda si mbaya, kwa mujibu wa tetesi walionunuliwa hayo magari ni wengi na si kwamba alikuwa na uhusiano nao wa moja kwamoja, ni wanamegwa kwa kipindi kadhaa akionyesha uhodari wa kutosha anajishindia chendeo chekundu.Wapo pia waliomegwa wakapata fenicha tu(kwa mujibu wa hizo tetesi).Sasa kama biashara kati yao ilikwisha kuna haja gani ya wao kwenda mahakamani?,kwanza si kwamba magari aliwapa kwa msaada,walimpa uroda.

Je kama angekuwa na kesi mmoja kati ya wasichana waliojinyakulia gari Liumba angeenda mahakamani?
Mzee yamemfika acheze na matatizo yake akiyamaliza na kama atakuwa amebakiza chenji atafute wengine awape premio nyekundu.
 
Mtoa mada kama umeoa au una G.F nakushauri ukae kimya kabisa!! Kuna waliokataa mmagari wakachukua pesa za kuwanunulia waume zao zawadi!!
 
Nshawai iona iyo list somewhere nkachoka,ktk fani za masoko anastaili kuwa CEO kabisaaa bse kuwalamba wote hao bse nasikia ni zaidi ya kumi.
Big up Liyumba bse walijipendeza wenyewe ukala vichwa as long as they were willing kama kweli ana ngoma then kwa waliomegwa ndo wataona hasara ya tamaa za kudrive RAV4
 
Ndugu zangu kwanza natanguliza samahani zangu kwa yule yeyote nitakae kwenda kumkwanza kwa njia moja au ingine.!!

Mr. Liyumba ni mfanya kazi wa Benk kuu ya Tanzania BOT , kazi ambayo Labda kutokana mazingira yake ilimpa mwanya wa kuweza kujipatia kipato kwa njia zisizo halali, Mimi si husiki huko na siwezi kumhukumu kwasababu sina hata ule uhakika wa kile kilichotendea hadi kumpelekea kufunguliwa mashtaka kwake kwa kuliingizia taifa hasara za mamilion ya shilingi. HAINIHUSU SANA HII..!!

Mr Liyumba kwa tetesi ambazo pia sina uhakika wa asilia mia nasikia alijihusisha katika vitendo vya kufanya ngono na baadhi ya dada zetu na kuwanunulia magari aina ya RAV 4 nyekundu.! Kama baadhi ya post zilizopita zilivyokuwa zikizungumzia .

Jambo hili nimelifikiria kiundani nikaja kujridhisha kwa majibu kwamba Mr. Liyumba kama binadamu wengine ana haki ya kufanya kile ambacho anaona kwake ni sawa na anao uhuru wa maisha yake na matumizi ya fedha alizo nazo kufanya kile aonacho yeye ni sawa pasipo kumdhuru au kuvunja sheria za nchi. Labda naweza kumhukumu tu endapo itakuja kugundulika kwamba aliyafanya hayo kwa makusudi akijijua kwamba yeye ni mwathirika au kwa kuwakomoa dada zetu.

Vingine sitoweza kumhukumu kwani wenye kufanya mapenzi na wanawake wengi na kuwahonga magari,fedha na hata nyumba na vitu vingine ni wengi miongoni mwetu.

Binadamu tumeumbwa na kutofautishwa na wanyama kwasababu tumepewa uwezo wa kutambua yaliyo mazuri na mabaya , tumepewa uwezo wa kufikiri mambo tofauti na wanyama wa polini.

Mr Liyumba yupo mahabusu ..hupangiwa siku za kwenda kusikiliza mashitaka yake mahakamani.

Je dada zangu walionunuliwa RAV 4 nyekundu ni WANGAPI HUENDA KUSIKILIZA MASHITAKA YA MR LIYUMBA SIKU HIZO AMBAZO HUPANDISHWA KIZIMBANI ?

Sasa hili linakuhusu! umbea tu!
 
Mna ushahidi toka kwa daktari kuwa Mzee wa watu ameathirika?
Na je kuna mwenye uhakika kuwa baba wa watu hakuwa anatumia Condom?
Acheni kukurupuka...

Kama huna cha kuandika ni bora ukachukue kopo ukachambe
 
Soma post vizuri !!! Better a witty fool than a foolish wit !!!!!!
 
Sasa hili linakuhusu! umbea tu!

Linanihusu zaidi kwasababu katembea na mke wangu !! Sie kila anayeandika post anakurupuka kama udhaniavyo wewe., Tazama vikira zako kabla hujatoa maoni.! I ´d set my ten commandments in your face bro!!!!
 
Mna ushahidi toka kwa daktari kuwa Mzee wa watu ameathirika?
Na je kuna mwenye uhakika kuwa baba wa watu hakuwa anatumia Condom?
Acheni kukurupuka...

Kama huna cha kuandika ni bora ukachukue kopo ukachambe

Pole sana mkuu. Vipi wife alikudanganya ule mchuma mwekundu alikopa pesa benki akaununua? Vumilia tu afu ukapime. Hasira za nini sasa?
 
mi nadhani hata kama wasipokwenda si mbaya,kwa mujibu wa tetesi walionunuliwa hayo magari ni wengi,na si kwamba alikuwa na uhusiano nao wa moja kwamoja,ni wanamegwa kwa kipindi kadhaa akionyesha uhodari wa kutosha anajishindia chendeo chekundu.Wapo pia waliomegwa wakapata fenicha tu(kwa mujibu wa hizo tetesi).Sasa kama biashara kati yao ilikwisha kuna haja gani ya wao kwenda mahakamani?,kwanza si kwamba magari aliwapa kwa msaada,walimpa uroda.
Je kama angekuwa na kesi mmoja kati ya wasichana waliojinyakulia gari Liumba angeenda mahakamani?
Mzee yamemfika acheze na matatizo yake akiyamaliza na kama atakuwa amebakiza chenji atafute wengine awape premio nyekundu.

Mkuu umetumia busara kujibu post ! Ninao uhakika hata elimu yako haitakuwa na mashaka kabisa , ! wengine wana soma juu juu na kujibu vitu visivyo endana na post..!!
 
mkuu hata siasa inaweza ingiza mapenzi !!! Karibu sana !!
Tb, hii inakugusa kwa upande gani? una mke/mchumba/dada aliyepewa gari nyekundu au Liyumba ni ndugu yako na unademand payback time ya kwenda kumtia moyo mahakamani? sorry lakini kama huta-mind kujibu.
 
Mtoto wa Simba wajua Jamaa kammega wife !!!!! Chakushangaza wife hataki hata kuhudhuria kesi ya mpenzi wake..Najiuliza kama kweli alikuwa anampenda kwanini haendi hata kumwona sura yake na kumfariji ?
 
Dah pole sana,kumbe Liyumba anakuhusu kwa karibu hivo? inabidi uende wewe kwa niaba ya mkeo,nyie si ni mwili mmoja?
 
Back
Top Bottom