Walionunuliwa Magari Mekundu na Amatus Liyumba

Dah pole sana,kumbe Liyumba anakuhusu kwa karibu hivo? inabidi uende wewe kwa niaba ya mkeo,nyie si ni mwili mmoja?

Mimi aibu nyingi siwezi enda mahakamani..Nitabaki tu kutukana endapo nitasikia mtu anatuma post zinazomhusu Liyumba humu..Si wajua kumegewa kuna uma sana..!!!
 
Naamini na hii yako inakufanya utukane maana liyumba ndo muhusika mkuu humu.

why would stress yourself??
 
Shemeji niPM list na mi niongeze kama hutajali najua hapa huwezi kuweka

List ipo wazi mwenetu !! Tazama wenye kutuma post za matusi utawajua..Jana nilikuwa nasoma out comes za wagonjwa wa HIV nikaambiwa dalili moja wapo ni kwamba hawa jamaa wanakuwa aggressive sana na matusi yao yapo mdomoni..!! Sasa ukifuatilia hili utawapata kiurahisi tu..!!
 
Real! Kwani matusi ni nini? hebu nitajie mfano,kwa vile mie wakati mwingine nashindwa kutofautisha maneno ya kiswahili na matusi,
Kwa mfano kuna maneo yanayoelezea sehemu za mwili wa binadamu,lakini ukitamka watu wanasema ni matusi wakati tunasoma kwenye baioloji(sore ofutopik)
 
Hahahahaa,ushawatembelea lakini? washauri nasaha?Wahi Bwana,matumaini ya muhimu.

Nakwambia ukisoma post za juzi utaona niliulizwa swali la jinsi hiyo..!!! Kwani ukisoma Kifupi cha Tongue Blister unapata herufi gani ? TB..Kisha wajua magonjwa gani yenye sign za tongue blister ? au malengelenge mdomoni ? hahahaaaa! Jina langu linafukuza wapenzi nakwambia...!!!!
 
Real! Kwani matusi ni nini? hebu nitajie mfano,kwa vile mie wakati mwingine nashindwa kutofautisha maneno ya kiswahili na matusi,
Kwa mfano kuna maneo yanayoelezea sehemu za mwili wa binadamu,lakini ukitamka watu wanasema ni matusi wakati tunasoma kwenye baioloji(sore ofutopik)

Mmojawapo huyo ambaye bado anatumia choo cha shimo kwenye karne hii tuliyo nayo : Mna ushahidi toka kwa daktari kuwa Mzee wa watu ameathirika?
Na je kuna mwenye uhakika kuwa baba wa watu hakuwa anatumia Condom?
Acheni kukurupuka...

Kama huna cha kuandika ni bora ukachukue kopo ukachambe

Hahaaaa !! soooooooooooo SAAAAAAAAAAAD unajua !! Anataka kunirudisha kwenye ujima huyu!!!
 
Nakwambia ukisoma post za juzi utaona niliulizwa swali la jinsi hiyo..!!! Kwani ukisoma Kifupi cha Tongue Blister unapata herufi gani ? TB..Kisha wajua magonjwa gani yenye sign za tongue blister ? au malengelenge mdomoni ? hahahaaaa! Jina langu linafukuza wapenzi nakwambia...!!!!
Kuna matumaini,wahi kwa mtume na nabii Mwingira au Kakobe ili uishi kwa matumaini ,kwa vile naona matumaini ya Angaza yamekushinda.Believe me,malengelenge yataisha na hata hiyo TB.
 
Mmojawapo huyo ambaye bado anatumia choo cha shimo kwenye karne hii tuliyo nayo : Mna ushahidi toka kwa daktari kuwa Mzee wa watu ameathirika?
Na je kuna mwenye uhakika kuwa baba wa watu hakuwa anatumia Condom?
Acheni kukurupuka...

Kama huna cha kuandika ni bora ukachukue kopo ukachambe

Hahaaaa !! soooooooooooo SAAAAAAAAAAAD unajua !! Anataka kunirudisha kwenye ujima huyu!!!
cjakuelewa ujue,hata hivo hujajibu swali langu.
Na hizo kondomu huwa haziamini sana,ni 50% 50%
 
Hata mimi sikuelewa baada ya mtu kunitumia hiyo post maana nilisita kidogo kwamba huenda tunatofautiana katika kuelewa mambo..Hayo maneno meusi nime copy ya mtu aliyotuma baada ya post yangu..! Hata mimi sijamuelewa nikaona labda wewe waweza elewa alicho maanisha..!
 
Ok,sasa nimekupata.Mbona maneno madogo tu hayo tb? Kumbe una moyo mdogo eeeh? Katika jambo lolote lazima kuwepo na chalenji kama hizo za kutofautiana maneno.Sasa ungetukanwa ungesemaje?
 
.

Je dada zangu walionunuliwa RAV 4 nyekundu ni WANGAPI HUENDA KUSIKILIZA MASHITAKA YA MR LIYUMBA SIKU HIZO AMBAZO HUPANDISHWA KIZIMBANI ?
[/QUOTE]

Swali la msingi naamini ni hilo hapo juu!!!
Bila shaka hawawezi kujitokeza wengi maana wao si rasmi! kwahiyo kwasababu mbalambali hata ungekua ni wewe isingekua rahisi kwenda kusikiliza mashitaka lakini naamini wengi wao kama wapo watakua wanafuatilia kwa karibu! hata hivyo itategemea mahusiano yalivyokua kabla ya haya yote kutokea!
 
Najaribu kurekebisha tabia, sio kila mwana JF anatumia choo cha shimo..Wajua Maneno yako ndio yale yanayo wakilisha wewe ni mtu wa tabaka au ni mtu wa jinsi gani..!.
 
.

Je dada zangu walionunuliwa RAV 4 nyekundu ni WANGAPI HUENDA KUSIKILIZA MASHITAKA YA MR LIYUMBA SIKU HIZO AMBAZO HUPANDISHWA KIZIMBANI ?

Swali la msingi naamini ni hilo hapo juu!!!
Bila shaka hawawezi kujitokeza wengi maana wao si rasmi! kwahiyo kwasababu mbalambali hata ungekua ni wewe isingekua rahisi kwenda kusikiliza mashitaka lakini naamini wengi wao kama wapo watakua wanafuatilia kwa karibu! hata hivyo itategemea mahusiano yalivyokua kabla ya haya yote kutokea!
[/QUOTE]

Zion G .! Unaona watu wenye upeo wa kutambua mambo hawa ! we unamuliza mtu Rais wa Tanzania anaitwa nani kisha anakupa jibu kwamba anaishi Kibaha...Unategemea nini kwa mtu wa jinsi hiyo ?!
 
Kuna matumaini,wahi kwa mtume na nabii Mwingira au Kakobe ili uishi kwa matumaini ,kwa vile naona matumaini ya Angaza yamekushinda.Believe me,malengelenge yataisha na hata hiyo TB.

(SORE OFF TOPIK) ZD hao nlobold hapo sirikali imetangaza itaanza kuwakamata kuanzia sasa NIMESKIA KTK HABARI ZA MAZEGETI
 
Back
Top Bottom