Waliokuwaga wapenzi wa mchezo wa Tausi toka Kenya ulionyeshwaga ITV, karibuni tukumbushane zaidi

Chokaraa damu .Joto na Linda na Vita nilipenda sana walivyoigiza wale watoto
Mponda alivyofulia akaenda kuomba kazi ya ulinzi kwenye jumba la mzee Kasri so akakutana na Rukia akamwambia kama nilishawahi kukuona walizuga kuwa jamaa ni mtunzi wa mashairi ikabidi aambiwe atunge shairi kwenye birthday ya Sitti bint Kasri ...dah nikikumbuka i wish the time could go back....
na sheria tano za machokoraa
 
Duh mmenikumbusha mbali sana. Nililazimika kutembea umbali mrefu san kwenda kuitazama. Ndo kila siku nikiingia darasani nilianza na sala hii: " Ee Mungu nisaidie nifaulu, wanangu wasiangalie TV kwa jirani na wasile pilau sikukuu (idi) tuu."

Na Yesu akatenda Muujiza, nikafaulu na kuendelea mbele na wanangu wamezaliwa wamekuta TV ndani tena Flat Screen na Simu Touch screen.
 
Ooh umenikumbusha mbali tulikua wadogo sana kina sikitu lindi rukia na kalmanzila
 
Chokaraa damu .Joto na Linda na Vita nilipenda sana walivyoigiza wale watoto
Mponda alivyofulia akaenda kuomba kazi ya ulinzi kwenye jumba la mzee Kasri so akakutana na Rukia akamwambia kama nilishawahi kukuona walizuga kuwa jamaa ni mtunzi wa mashairi ikabidi aambiwe atunge shairi kwenye birthday ya Sitti bint Kasri ...dah nikikumbuka i wish the time could go back....
Ilikua poa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom