englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Mambo yote 26/4wanabodi.
shirika la bima la taifa limewafurusha bila hata kuwapa notice wapangaji wake huko masaki na mikocheni siku ya alhamisi wiki hii.
Tukio hili lilitokea siku ya alhamisi mchana kuanzia saa 8:00 mchana.
ilivyokuwa.
shirika la bima liliuza nyumba zake kwa PPF huko nyuma. PPF wakawa wanahitaji nyumba zao wapangaji hawa walikuwa wanaenda mahakaman kuweka zuio la kuhamishwa hapo. shirika la bima likawa halipati pesa toka kwao kutokana na kuwepo kwa kesi Y msingi.
MAGUFULI aliitisha kikao cha siri na mkurugenzi wa shirika. na kuwataarifu wafanyakazi wa bima kuwa uhamishwaji ufanyike kwa dharura bila notice wala kuandikwa popote.
walivamiwa na askar wenye siLha za kivita hapo alhamisi.na ni muda ambao mahakama ilikuwa imemaliza shughuli zake.so ilikuwa vigumu kuweka zuio.
wapangaji hawa wakiwemo majudge, wafanyabiashara, watumishi wa umma na watoto wa vigogo wameisoma namba.
polisi walikuwa 46 na yono walikuja na mabounsa pale.
my take.uvunjifu huu wa haki za kiraia ni mpaka lini jamani?