Walioko Ughaibuni wanakumbana na haya kila kukicha

inatia uchungu na kusikitisha sana! huyo mama wa kizungu hana utu na bado ana mawazo so primitive! i wish she regrets one day unless otherwise she is overfrustrated.
 
Huyo mama wa kizungu atakua amekunywa mapombe au madawa ya kulevya.
Hayuko sawa.
Ila nasisi tunafuata nini huko?
 
Hahahahaaa huyu mama maisha yamemshinda sasa anadhani blacks ndio chanzo. Ngoja nidandie tram mie niwahi gheto:lol:
 
Back
Top Bottom