Waliojiondoa CUF waanzisha chama kipya ADC

wana nini kipya hapa Tz nadhani wangeunga na vyama vingine vilivyopo kuliko kuwa na lundo la majina ya vya siasa

Samahani wadau naomba kujua hiki chama cha ngapi kwa idadi
 
nashukuru kwa sababu sasa CUF mpinzani wao atakuwa ADC na si cdm tena. nawatakia kila la heri mana ninachokiona hapo ni kugawana fito baada ya kushidwa kujenga nyumba moja.
 
Wamefanya makosa makubwa ya kisiasa kuondoka CUf kwa sababu ya viongozi wake. Ifike wakati hawa viongozi na wanachama wafahamu kwamba ni wao wanaokijenga chama na sio viongozi wake. Wamuondoe Maalim Seif na vibaraka wake na kukijenga chama UPYA sio kuanza Arif kwa ujiti kutafuta viti bungeni.

Hata hivyo maadam wameisha sajili chama hiki watumie muda mwingi zaidi kutafuta kuunda mseto na Chadema kama walivyokuwa kabla ya uchaguzi wa mwaka 2000. Mwisho, naomba mada hizi tatu zinazofanana hapa janvini ziunganishwe.
 
wana nini kipya hapa Tz nadhani wangeunga na vyama vingine vilivyopo kuliko kuwa na lundo la majina ya vya siasa

Samahani wadau naomba kujua hiki chama cha ngapi kwa idadi
Nchini DRC, Vyama vya upinzani nafikiri ni zaidi ya 300. Hiyo ndiyo demokrasia!
 
Sio mjuu, ni mtoto kutokana na ndoa ya mkeka ya CCM na CUF
Mtoto ana cromosomes 2 za CCm na 1 ya Cuf (+ AD) ya after death

Ha ha ha ha ha ha. Sijui na rhesus factor ya mtoto ikoje hapo. Kama ya mzazi mmoja ni Rh+ na mwingine Rh- hakika mtoto hataishi; ni lazima atakufa. Tusubiri tuone.
 
Kwa stail hii ya kila mtt kuwa na chama chake cha siasa.ni ngumu kupata demokrasia ya kweli.nadhani adc ni ccm c
 
Na ndio dhambi iliyowaua kaka zao CUF, wabadilike tunahitaji vyama vya siasa sio CUF cha dini. Halafu kama mtaji wao utakuwa ZNZ wamefulia ni watu mil 1 vyama vinne hahahah.
Vipi kile kinachoongozwa na Padri? Au ukristo sio dini? CHADEMA udini ni kikwazo kikubwa kwenye ndoto za kutwaa madaraka!
 
Ha ha ha ha ha ha. Sijui na rhesus factor ya mtoto ikoje hapo. Kama ya mzazi mmoja ni Rh+ na mwingine Rh- hakika mtoto hataishi; ni lazima atakufa. Tusubiri tuone.

Mama wee!!

Mbona unatupitisha kwenye machaka ya miiba halafu chini kuna mbigili, wenzako hatuvaa viatu wala ndala.
 
ADC ni muungano wa wanademokrasia magalasha (alliance for democratic change)... they keep change (politically)!!! LOL
 
Lisemwalo lipo, Leo hii wafuasi waliotoka CUf wamewasilisha ombi la kusajili chama kipya kiitwacho ALLIANCE FOR DEMOCRATIC CHANGE kifupi ADC.

Source: Magic Radio


Am very curious je Hamad Rashid hayuko nyuma ya pazia au anakula kwanza hadi mwisho ndipo achukue uenyekiti ?
 
Kwa wazoevu wa mambo ya kisiasa tunajua kua ADC kitatingisha nchi kwani viongozi waandamizi wa chadema,ccm,Nccr,Cuf watahamia huko.
 
Back
Top Bottom