Waliogoma Makumira University ni Wafuasi wa CHADEMA

Albert Msando

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,019
171
Nimepokea text kutoka kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Makumira,

'umesikia maandamano?'

Nikamjibu, 'ndio nasoma kwenye JF, tatizo ni nini?'

Akanijibu, 'mikopo na waliogoma wote ni Chadema'

Nikamuuliza, umejuaje ni cdm? Walikuwa na sare na bendera za cdm? Ina maana hao wengine ambao hawajagoma ni CCM na CUF?'

Akanijibu 'hiyo ndio habari nakupa. Am in gud position to know'

I lost it. Nikajikuta nimemjibu,

'unanipa hiyo habari ili nini? Ingekuwa rahisi umpe Vice Chancellor au Polisi'

My take,

Already some mean minded people and vibaraka wa system are playing the mgomo down as a CDM affair instead of getting down to the issues!

Whoever is on the ground should give us unbiased account of the events leading to the mgomo!

At the end, the is nothing wrong with participants being CDM followers. They are more enlightened and ready to stand up for their rights!!

I just lost it for a minute nilipomfikiria huyo mwanafunzi! Badala ya kuunga mkono jitihada za kudai haki yao anakimbilia 'hao ni CDM'!
 
Kuna watu ubongo wao kama wa funza vile kila mgomo mtasema cdm'watu hawataki tena kunyonywa
 
By default watanzania wanafunzi wote wanaogoma ni CDM kwa sababu CDM ni chama kinachowatetea,hata kule UDOM,RUCO etc waliogoma ni CDM.tukikubaliana na hii fact tunaweza kujiuliza Kikwete alipataje ushindi wa 61% kama wote hawa hawamkubali?
 
kama hali ndio hiyo hadi msomi wa chuo nae anasema wenzake waliogoma ni CDM ............... usijeshangaa kusikia kwa wale wenzangu na mie wanao nyimwa unyumba majumbani mwao kwa migomo ya wake zao kupata sababu kuelezea kisa cha kunyimwa kwake ............. CHADEMA hao ndio wana mshinikiza my wife kugoma
 
kama hali ndio hiyo hadi msomi wa chuo nae anasema wenzake waliogoma ni CDM ............... usijeshangaa kusikia kwa wale wenzangu na mie wanao nyimwa unyumba majumbani mwao kwa migomo ya wake zao kupata sababu kuelezea kisa cha kunyimwa kwake ............. CHADEMA hao ndio wana mshinikiza my wife kugoma

Hahaaa!! Hiyo itakuwa safi sana. Kina mama wote wapige gwanda wakati wa kulala kuonyesha msimamo wao kwa waume wote ambao bado wanaisaidia CCM kunyonya! Watabadilika haraka sana!
 
Kwani matatizo ya mikopo yameanza leo? Miaka ya 1995 MV bukoba ilipozama UDSM tulikuwa wizarani kudai fedha, Ben Mkapa akiwa waziri mwenye zamana hiyo. Mbona hatukuwa na chadema. Swala hapa ni haki na siyo Chama, kwani kudai haki ni mpaka chama chochote?:nono:, Haki ya mtu asipopewa kwa wakati stahili lazima adai. Whether kwa nguvu au kwa maandamano kama TUnusia.:car:
 
Bottom-line ni kupewa mkopo kwa wakati,mengineyo ni propaganda ...hata kama wanaogoma ni cdm, je wamepewa mkopo? kama hawajapewa utawalaumu kwa basis gani?..ungewapa mapema ungewajuaje?
All in all kama kweli ni cdm waliogoma, nawapa hongera sana, maana wameonyesha wazi kuwa mkopo ni haki ya msingi ya mwanachuo...wanaokaa nyumanyuma ni watoto wa mafisadi...
 
Naomba mtu huyo achunguzwe akili, au apekuliwe kama hana kadi ya chama cha mazingira (ccm), au labda yeye keshapata boom tena kwa asilimia mia.
 
Back
Top Bottom