Waliochaguliwa kujiunga na vyuo 2010/2011-saut

Sauti wameamua kutoendeshwa kisiasa. Wao wamesema watafungua mwanzoni mwa Octoba. Hivyo wametoa majina mapema ili wanafunzi waanze kujiandaa kwa ajili ya udahili.
 
orientation inaanza kwa 1st yr ila cha kushangaza ni kwamba hayo yametoka TCU na yamethibitishwa ila wao i.e TCU hakuna update yoyote na vyuo vingine vyote hakuna kitu.
 
Back
Top Bottom