Waliochaguliwa Clinical Officers Training Centre Mvumi-Dodoma tukutane hapa

NANGA WA DEPO

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
917
1,198
Wadau kwanza hongereni kwa kuchaguliwa.
Kwa wale mnaoendlea kuapply nawatakia kila la kheri mfanikiwe. Na wale tuliochagulia certificate/ diploma kozi za afya, pamoja na wale ambao mlishawahi kusoma COTC-Mvumi karibuni tupeane abc mbili tatu na ushauri mbalmbali kwa sisi tunaokwenda kuanza..

Karibuni!!
 
WADAU KWANZA HONGERENI KWA KUCHAGULIWA.
KWA WALE MNAOENDLEA KU APPLY NAWATAKIA KILA LA KHERI MFANIKIWE.
NA WALE TULIOCHAGULIA CERTIFICATE/ DIPLOMA KOZI ZA AFYA, PAMOJA NA WALE AMBAO MLISHA WAHI KUSOMA COTC-MVUMI KARIBUNI TUPEANE ABC MBILI TATU NA USHAURI MBALMBALI KWA SISI TUNAOKWENDA KUANZA..
KARIBUNI!!
Kuna Mdogo wangu wakike ana D nne form four ikiwemo chemistry na biology nawez kuomba hiyo course certificate nikapata? Msaada ndugu nijue
 
Kuna Mdogo wangu wakike ana D nne form four ikiwemo chemistry na biology nawez kuomba hiyo course certificate nikapata? Msaada ndugu nijue
Kama Ana D kwny phyz,chem,Na bioz aombe certificate haraka coz mwsh n tareh 5 mwez wa nane
 
Naomba kuuliza, ada ya hapo mvumi ni tsh ngapi, diploma CO
wata
Naomba kuuliza, ada ya hapo mvumi ni tsh ngapi, diploma CO

MKUU SUBIRI KIDOGO, WAKISHANITUMIA ADMISSION LETTER NITAKUJIBU VIZURI KWAKUWA WATAKUWA WAMEFAFANUA KILA KITU.
LAKINI KWENYE GUIDEBOOK YA NACTE INAONYESHA TUITION FEE NI MIL.2.5
SIJAJUA MICHANGO MINGINE.
 
kuna jamaa angu kamaliza fom six anataka kuomba vyuo vya afya ila kila chuo kwenye selection kinaonesha certificate NTA 5 hii kumaanisha nini diploma zimeisha au msaada wadau
 
halafu mie nina e tu ya form six lakin nina b zote form four ip course nzuri ...
 
Mvumi wanatoa pruduct mbovu........
Wanabebwa GPA kubwa
Ukija clinical ground ni zero
 
Back
Top Bottom