Good Guy
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 3,811
- 1,412
There are currently 24 users browsing this thread. (12 members and 12 guests)
Presha 100% wadau kama ni kweli bac huu ni mwaka wa tabu,vp jamani za sua design kama ya agribusiness vile.
kaka we kama ulijaza 1st or 2nd choice jua umechaguliwa kesho nitakuchekia ur name..c'unajua tena tena mi niliijaza 4th choice dats why nimeachwa
kaka ngoja nikuambie ukwel wewe kama umejaza kozi yoyote ya biashara but huna dv1 ya 8 jua ishakula kwako !!
kaka mimechek cutt-off za kozi za businez zinarange 12.5 up to 10.5 but 9.5 ni chache xana
civil engeneering wisho 8.5
Ming engeneering wisho 9.5..
Mwaka huu UDSM imechukua vichwa tu..
Kwa taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba nimekosa kozi zote mbili nilizojaza UDZM na wewe kama umejaza udzm kozi zifuatazo check hz cut-off point then utajua kama umo ama ndo ushapigwa nje !!
1.BIOTECHNOLOGY -10.5 up to 6.5
2.Bachelor of science with geology- 13 up to 10.5
3. Actorial - 13 up to 11
4. Telecommunication- 15 up to 12
But nimeshangaa sana mimi kuachwa kwenye hiyo biotechnology coz nina cut off point 7