kitu kile kile, kishaju alizungumzia kuvunjika na kuwepo kwa kidonda!! utawezaje kuzungumzia fx bila kuwepo kwa fx???.....ndio maana nasema criticism yako ya kijinga!!! na kwa taarifa yako sio lazima mfupa utokeza, ila ile access tu na chances kubwa za infection(s) kwenye fractured area inawezatosha kusema ni cpd fx............unaweza kuendelea kubisha, kwasababu upo negative sana!! rudia kusoma nini kishaju aliandika. watu wengine bwana, kuna kilaza mwenzako(mtu mzima) huko juu alibisha kwamba cpd fracture kwa jina lingine sio open fracture...mnatia aibu!!!.
Ndio, nitaendelea kubisha kwa sababu bado unazidi kupotosha.
Panaweza kuwepo vidonda kwenye ngozi au hata nyama; na pakawepo na fracture ambayo sio sababu ya kuwepo hivyo vidonda.
Hayo mengine ya ujinga na ukilaza unayajua wewe, sina haja ya kuyajibu.