M Mdondoaji JF-Expert Member Mar 17, 2009 5,108 1,136 Dec 2, 2011 #21 Hiyo ndio inatakiwa nawaunga mkono wagome, na maaskari wagome na watumishi wa umma ndio serikali ya CCM itatia akili na wabunge wao bungeni.
Hiyo ndio inatakiwa nawaunga mkono wagome, na maaskari wagome na watumishi wa umma ndio serikali ya CCM itatia akili na wabunge wao bungeni.
kijana wa leo JF-Expert Member Nov 28, 2011 2,856 7,005 Dec 2, 2011 #22 Viongozi wao wanatafuta masilahi binafsi mana siku hizi ukitangaza mgomo tu kesho yake KV anakuita akupoze.
Viongozi wao wanatafuta masilahi binafsi mana siku hizi ukitangaza mgomo tu kesho yake KV anakuita akupoze.
Mpatanishi JF-Expert Member Jul 1, 2011 1,810 623 Dec 2, 2011 #23 Kifulambute said: Waalimu hata wachinjwe kugoma ni mwiko kwanza wengi wao hawajielewi na wala hawajui haki yao..... hawana umoja hata siku moja Click to expand... mkuu walimu wa sasa hivi ni mwanzo mwisho mkuu. Kizazi cha dot.com tumeingia rasmi kwenye hii taaluma. Hatuendekezi upuuzi. Haki mbele.
Kifulambute said: Waalimu hata wachinjwe kugoma ni mwiko kwanza wengi wao hawajielewi na wala hawajui haki yao..... hawana umoja hata siku moja Click to expand... mkuu walimu wa sasa hivi ni mwanzo mwisho mkuu. Kizazi cha dot.com tumeingia rasmi kwenye hii taaluma. Hatuendekezi upuuzi. Haki mbele.