Walimu watakiwa kuripoti Shuleni kuanzia Jumatatu ijayo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari wametakiwa kuripoti kazini kuanzia Jumatatu ijayo ili kujiandaa na Shule kufunguliwa

Tume ya Elimu kutoka Taasisi ya Maendeleo ya Mitaala Kenya (KICD) imependekeza Shule nchini humo kufunguliwa mwezi Oktoba

Hata hivyo, Waziri wa Elimu George Magoha amesema tarehe rasmi ya kufunguliwa Shule itatangazwa baada ya Kamati kufanya mazugumzo

Waziri amesema Wanafunzi wenye mitihani ya mwisho watakuwa wa kwanza kurejea Shuleni kwanza na wengine watafuata baada ya wiki chache

Pia, ameongeza kuwa, inawezakena madarasa mengine yakawa nje ili kudhibiti maambukizi ya #CoronaVirus

=====

Primary and Secondary School teachers will be expected to report to their respective schools from Monday, September 28 to prepare for the eventual re-opening.

Education Response Committee chaired by Sara Ruto of the Kenya Institute of Curriculum Development (KICD) reccomends that schools re-open in October.

However, Education CS George Magoha said the reccomendations by the committee will be tabled before a larger committee after which, the official date for school’s re-opening will be given.

“It is not for me to give the date for the re-opening, I will table this report before a larger committee for a deliberation on the actual date for the resumption of schooling,” Prof. Magoha said.

The scattered re-opening will see candidates report to school first; with the rest of the students expected back in a few weeks.

Standard Seven, Standard Eight, Form Three and Form Four students will be expected in school’s first.

Upon resumption of classes, non-candidates will undergo a crash-learning programme aimed at covering the second term syllabus before December.

CS Magoha said it may be important to have some classes outside, to avert the spread of the new coronavirus.

The Education Ministry further said teachers will be guided on how to finish the syllabus before the national exams slated for April 2021.

Under the new recommendations, the second term which was disrupted by the pandemic will begin in October and end in November whilst the third term will kick off in January through to March.
 
Hivi si walisema shule mpaka 2021? Yaani WHO wamesema shule zifunguliwe haswa Afrika, hao wanakimbizana. I hope funds zipo hazija liwa in anticipation shule kufunguliwa 2021.
 
Si walisema shule mpaka Jan 2021,imekuwaje tena?

Sasa nitashangaa mnafungua shule huku mnawaweka watu lockdown.
 
Back
Top Bottom